Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
changia chama la wana ww achana na mawazo ya kimaskiniUtapeli wa kiwango cha lami
Mtuache na buku buku zetu, mwambie Mbowe atoe zile 6bn za michango ya wabunge.Usichangie maana hela yako ni yq ngama tu ...
6bn michango ya wabunge wa CDM imeenda wapi, kama alifuja zile hata buku buku zetu atafuja pia.changia chama la wana ww achana na mawazo ya kimaskini
Zile zimenunua magari ya kampein6bn michango ya wabunge wa CDM imeenda wapi, kama alifuja zile hata buku buku zetu atafuja pia.
Mbona hayo magari ya 6bn hatuyaoni, msafara wa Lissu una magari hayazidi 10 na moja tu ndio M4C la CDM, magari Mbowe aliyotukopa 2015 kwa bei ya juu ameyapeleka wapi ? Mwaka huu hatuibiwi ng’ooo.Zile zimenunua magari ya kampein
Matusi yenu kapuni kwa sasa sio?Haba na haba hujaza kibaba. Ukipata jero kwa watu milioni moja, utakuwa na jumla kiasi gani?
Juzi nilichanga 35,000 jana nimetuma 20,000 kesho nataka nichangie laki kabisaa, na nitakua ninachangia kila siku hata kama ni elfu tano mpaka kampeni ziisheNawaombeni wananchi wote wapenda HAKI tujitoe kuchangia walau kuanzia sh.500 ili kufanikisha kampeni za CHADEMA.
Nawaombeni msishangae kwa hilo kwa sababu tayari fedha zote za kampeni za CCM ni michango yetu sisi wananchi kupitia kodi zetu.
CHADEMA wana sera nzuri sana kama tulivyozisikia hapo Kawe, ilihali CCM wenyewe wanakomaa na ndege ambazo kiuhalisia si kipaumbele cha watanzania.
CHADEMA TOENI NAMBA ZA SIMU NA BENKI MZISAMBAZE DUNIA NZIMA MPATE MSAADA.
Suala la kuchangisha mkiwa kwenye kampeni, binafsi silikubali, linakera. Mnachotakiwa kufanya, ni kutoa maelekezo namna ya kuchangia na si kutoa maelekezo ya kubonyeza *150*...
Kuna watanzania kama wamelogwa vile. Yani Chama kina ruzuku, kina Kata wabunge wake posho zao halafu leo wanatembeza bakuli kwa wananchi maskini ili kufidia matumizi yao. Mungu anawaona nawaambia, hamtapata kitu oct 28.2020.Mumeanza na masaccos yenu, kwani hiyo ruzuku mnayopata ni kodi za watu gani? Yaaaniiii chadema mwaka huuu kila kiki mnayoleta inabumaaa. Mkichangisha tutawaomba mtupe mrjesho, wa kiasi na matumizi yake. Vyama vyote vinapata ruzuku ambayo ni kodi ya watanzania wote, halafu unaleta propagandazako za kizushi hapa
Tunaogopa Mwenyekiti Faru John na Kundi lake watazipiga kama ambavyo walivyozipiga za wabunge wao walizokuwa wanachanga kwa ajili ya uchaguzi. Usicheze na Faru John na Genge lake wale ni hatari sana hasa wakiona pesa!Nawaombeni wananchi wote wapenda HAKI tujitoe kuchangia walau kuanzia sh.500 ili kufanikisha kampeni za CHADEMA.
Nawaombeni msishangae kwa hilo kwa sababu tayari fedha zote za kampeni za CCM ni michango yetu sisi wananchi kupitia kodi zetu.
CHADEMA wana sera nzuri sana kama tulivyozisikia hapo Kawe, ilihali CCM wenyewe wanakomaa na ndege ambazo kiuhalisia si kipaumbele cha watanzania.
CHADEMA TOENI NAMBA ZA SIMU NA BENKI MZISAMBAZE DUNIA NZIMA MPATE MSAADA.
Suala la kuchangisha mkiwa kwenye kampeni, binafsi silikubali, linakera. Mnachotakiwa kufanya, ni kutoa maelekezo namna ya kuchangia na si kutoa maelekezo ya kubonyeza *150*...
Kwani chadema hawapati ruzuku?Nawaombeni wananchi wote wapenda HAKI tujitoe kuchangia walau kuanzia sh.500 ili kufanikisha kampeni za CHADEMA.
Nawaombeni msishangae kwa hilo kwa sababu tayari fedha zote za kampeni za CCM ni michango yetu sisi wananchi kupitia kodi zetu.
CHADEMA wana sera nzuri sana kama tulivyozisikia hapo Kawe, ilihali CCM wenyewe wanakomaa na ndege ambazo kiuhalisia si kipaumbele cha watanzania.
CHADEMA TOENI NAMBA ZA SIMU NA BENKI MZISAMBAZE DUNIA NZIMA MPATE MSAADA.
Suala la kuchangisha mkiwa kwenye kampeni, binafsi silikubali, linakera. Mnachotakiwa kufanya, ni kutoa maelekezo namna ya kuchangia na si kutoa maelekezo ya kubonyeza *150*...
Kama kweli vile!!?Juzi nilichanga 35,000 jana nimetuma 20,000 kesho nataka nichangie laki kabisaa, na nitakua ninachangia kila siku hata kama ni elfu tano mpaka kampeni ziishe
Chama cha matapeli wakubwa, kinashindwa na kachama kadogo kama ACT. Mara 100 yule anayesambaza Wali. Mnataka watu wanunue hoja zenu zisizo mashiko. Mwisho wenu ni Oct 28.Nawaombeni wananchi wote wapenda HAKI tujitoe kuchangia walau kuanzia sh.500 ili kufanikisha kampeni za CHADEMA.
Nawaombeni msishangae kwa hilo kwa sababu tayari fedha zote za kampeni za CCM ni michango yetu sisi wananchi kupitia kodi zetu.
CHADEMA wana sera nzuri sana kama tulivyozisikia hapo Kawe, ilihali CCM wenyewe wanakomaa na ndege ambazo kiuhalisia si kipaumbele cha watanzania.
CHADEMA TOENI NAMBA ZA SIMU NA BENKI MZISAMBAZE DUNIA NZIMA MPATE MSAADA.
Suala la kuchangisha mkiwa kwenye kampeni, binafsi silikubali, linakera. Mnachotakiwa kufanya, ni kutoa maelekezo namna ya kuchangia na si kutoa maelekezo ya kubonyeza *150*...
HahahTuwapuuze wanaodai kuwa CHADEMA wanatembeza bakuli, badala yake tuwaulize fedha za kampeni za CCM zimetoka wapi? Hayo mafungu yanayotengwa ni kodi za wananchi wote bila kujali vyama vyao
Mumeanza na masaccos yenu, kwani hiyo ruzuku mnayopata ni kodi za watu gani? Yaaaniiii chadema mwaka huuu kila kiki mnayoleta inabumaaa. Mkichangisha tutawaomba mtupe mrjesho, wa kiasi na matumizi yake. Vyama vyote vinapata ruzuku ambayo ni kodi ya watanzania wote, halafu unaleta propagandazako za kizushi hapa
Sera za CDM nzuri sana sio za ccm za kujenga madaraja na kununu ndege zisizokuwa na faida.Nawaombeni wananchi wote wapenda HAKI tujitoe kuchangia walau kuanzia sh.500 ili kufanikisha kampeni za CHADEMA.
Nawaombeni msishangae kwa hilo kwa sababu tayari fedha zote za kampeni za CCM ni michango yetu sisi wananchi kupitia kodi zetu.
CHADEMA wana sera nzuri sana kama tulivyozisikia hapo Kawe, ilihali CCM wenyewe wanakomaa na ndege ambazo kiuhalisia si kipaumbele cha watanzania.
CHADEMA TOENI NAMBA ZA SIMU NA BENKI MZISAMBAZE DUNIA NZIMA MPATE MSAADA.
Suala la kuchangisha mkiwa kwenye kampeni, binafsi silikubali, linakera. Mnachotakiwa kufanya, ni kutoa maelekezo namna ya kuchangia na si kutoa maelekezo ya kubonyeza *150*...
Hahah
Pitisheni bakuli badala ya sera kutahamaki uchaguzi huu hapa
NdioKama kweli vile!!?
Mnajitahidi kupiga chenga utakatishaji na fedha za maadui.Sio kwamba tunachangishana kwa kujificha, tunachangishana mchana kweupe. Na tunachangishana kwa raha zetu. Na sio mara ya kwanza kuchanga maana tunakikubali chama chetu. Kama uisilamu ni dini ya miaka na miaka, juzi wamechangiwa hela ya kujenga msikiti, tena mchango wenyewe umefanyikia kanisani, nini cdm? Kwa taarifa yako nitaichangia cdm 100,000 kuanzia kesho. Nitaanza na 40,000, kisha mara mbili kwa 30,000@. Na huo sio mwisho wa kuichangia.
Matusi kwa chadema hiiiii Sera mnaiwezaaa.Nilishakwambia kichwa chako kimejaa makamasi. Vyama vyote vinapata ruzuku kwa sheria gani?