Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Unaijua miradi inayoendeshwa na ccm?Tuwapuuze wanaodai kuwa CHADEMA wanatembeza bakuli, badala yake tuwaulize fedha za kampeni za CCM zimetoka wapi? Hayo mafungu yanayotengwa ni kodi za wananchi wote bila kujali vyama vyao
Halafu unakuta maisha yako magumuuu. Hapo unabwabwaja kwa sababu umepewa fulana ya kijani. Kunguni ww.Unaijua miradi inayoendeshwa na ccm?
Mtueleze kwanza zile 800m alixokuwa anawakata mbowe wabunge wa chadema kila mwezi kea miaka mitano zimeenda wapi?Halafu unakuta maisha yako magumuuu. Hapo unabwabwaja kwa sababu umepewa fulana ya kijani. Kunguni ww.
Miradi mingi na vitegauchumi vingi ni mali za Watanzania kwa pamoja, Lissu ama kiongozi mwenye maono atazirudisha serikalini.Kabla mfumo vyama vingi serikali na chama vilifungamana pamoja.Unaijua miradi inayoendeshwa na ccm?
Sema miradi inayoendeshwa na CCM kwa kodi za watanzania woteUnaijua miradi inayoendeshwa na ccm?
Ccm kutumia raslimali za umma kufanya kampeni ni uporaji Kama uporaji mwingine na haikubalikiNawaombeni wananchi wote wapenda HAKI tujitoe kuchangia walau kuanzia sh.500 ili kufanikisha kampeni za CHADEMA.
Nawaombeni msishangae kwa hilo kwasababu tayari fedha zote za kampeni za CCM ni michango yetu sisi wananchi kupitia kodi zetu.
CHADEMA wana sera nzuri sana kama tulivyozisikia hapo Kawe, ilihali CCM wenyewe wanakomaa na ndege ambazo kiuhalisia si kipaumbele cha watanzania.
CHADEMA TOENI NAMBA ZA SIMU NA BENKI MZISAMBAZE DUNIA NZIMA MPATE MSAADA.
Suala la kuchangisha mkiwa kwenye kampeni, binafsi silikubali, linakera. Mnachotakiwa kufanya, ni kutoa maelekezo namna ya kuchangia na si kutoa maelekezo ya kubonyeza *150*...
Haba na haba hujaza kibaba. Ukipata jero kwa watu milioni moja, utakuwa na jumla kiasi gani?Mnaomba 500 ?
Mkuu akili zetu wanaccm tunazijua wenyewe,huwa tunakumbuka maisha yetu baada ya uchaguziHalafu unakuta maisha yako magumuuu. Hapo unabwabwaja kwa sababu umepewa fulana ya kijani. Kunguni ww.
Sawa mimi 700 itapendeza.Sijalipwa malimbikizo ya mshahara sababu ya CCMNawaombeni wananchi wote wapenda HAKI tujitoe kuchangia walau kuanzia sh.500 ili kufanikisha kampeni za CHADEMA.
Nawaombeni msishangae kwa hilo kwasababu tayari fedha zote za kampeni za CCM ni michango yetu sisi wananchi kupitia kodi zetu.
CHADEMA wana sera nzuri sana kama tulivyozisikia hapo Kawe, ilihali CCM wenyewe wanakomaa na ndege ambazo kiuhalisia si kipaumbele cha watanzania.
CHADEMA TOENI NAMBA ZA SIMU NA BENKI MZISAMBAZE DUNIA NZIMA MPATE MSAADA.
Suala la kuchangisha mkiwa kwenye kampeni, binafsi silikubali, linakera. Mnachotakiwa kufanya, ni kutoa maelekezo namna ya kuchangia na si kutoa maelekezo ya kubonyeza *150*...
Usichangie maana hela yako ni yq ngama tu ...Zile 6bn michango ya wabunge wa CDM zimepelekwa wapi na Mbowe, mwaka huu kila mtu akale alipopeleka mboga.
#Hatudanganyiki
Mimi nitakula CDM nilikopeleka mbogaZile 6bn michango ya wabunge wa CDM zimepelekwa wapi na Mbowe, mwaka huu kila mtu akale alipopeleka mboga.
#Hatudanganyiki
Sawa na ujangili tuCcm kutumia raslimali za umma kufanya kampeni ni uporaji Kama uporaji mwingine na haikubaliki
Umenitukana bure mkuu, mnaanzisha mada ili watu tuchangie hoja, wakati mwingine tunazimika kuuliza maswali kwa mwanzisha mada ili kupima uelewa wake, sasa mnapoanzisha mada na kutukana mnatufedhehesha wachangia mada!Halafu unakuta maisha yako magumuuu. Hapo unabwabwaja kwa sababu umepewa fulana ya kijani. Kunguni ww.