Uchaguzi 2020 Naombeni tuchangie kampeni za CHADEMA kwa sababu tumeshachangia za CCM kupitia kodi zetu

Zile zimenunua magari ya kampein
Mbona hayo magari ya 6bn hatuyaoni, msafara wa Lissu una magari hayazidi 10 na moja tu ndio M4C la CDM, magari Mbowe aliyotukopa 2015 kwa bei ya juu ameyapeleka wapi ? Mwaka huu hatuibiwi ng’ooo.
 
Juzi nilichanga 35,000 jana nimetuma 20,000 kesho nataka nichangie laki kabisaa, na nitakua ninachangia kila siku hata kama ni elfu tano mpaka kampeni ziishe
 
Kuna watanzania kama wamelogwa vile. Yani Chama kina ruzuku, kina Kata wabunge wake posho zao halafu leo wanatembeza bakuli kwa wananchi maskini ili kufidia matumizi yao. Mungu anawaona nawaambia, hamtapata kitu oct 28.2020.
 
Tunaogopa Mwenyekiti Faru John na Kundi lake watazipiga kama ambavyo walivyozipiga za wabunge wao walizokuwa wanachanga kwa ajili ya uchaguzi. Usicheze na Faru John na Genge lake wale ni hatari sana hasa wakiona pesa!
 
Kwani chadema hawapati ruzuku?
 
Juzi nilichanga 35,000 jana nimetuma 20,000 kesho nataka nichangie laki kabisaa, na nitakua ninachangia kila siku hata kama ni elfu tano mpaka kampeni ziishe
Kama kweli vile!!?
 
Chama cha matapeli wakubwa, kinashindwa na kachama kadogo kama ACT. Mara 100 yule anayesambaza Wali. Mnataka watu wanunue hoja zenu zisizo mashiko. Mwisho wenu ni Oct 28.
 
Tuwapuuze wanaodai kuwa CHADEMA wanatembeza bakuli, badala yake tuwaulize fedha za kampeni za CCM zimetoka wapi? Hayo mafungu yanayotengwa ni kodi za wananchi wote bila kujali vyama vyao
Hahah
Pitisheni bakuli badala ya sera kutahamaki uchaguzi huu hapa
 

Nilishakwambia kichwa chako kimejaa makamasi. Vyama vyote vinapata ruzuku kwa sheria gani?
 
Sera za CDM nzuri sana sio za ccm za kujenga madaraja na kununu ndege zisizokuwa na faida.
 
Hahah
Pitisheni bakuli badala ya sera kutahamaki uchaguzi huu hapa

Sio kwamba tunachangishana kwa kujificha, tunachangishana mchana kweupe. Na tunachangishana kwa raha zetu. Na sio mara ya kwanza kuchanga maana tunakikubali chama chetu. Kama uisilamu ni dini ya miaka na miaka, juzi wamechangiwa hela ya kujenga msikiti, tena mchango wenyewe umefanyikia kanisani, nini cdm? Kwa taarifa yako nitaichangia cdm 100,000 kuanzia kesho. Nitaanza na 40,000, kisha mara mbili kwa 30,000@. Na huo sio mwisho wa kuichangia.
 
Mnajitahidi kupiga chenga utakatishaji na fedha za maadui.

Hatuhadaiki.
 
Matusi ingeku
Nilishakwambia kichwa chako kimejaa makamasi. Vyama vyote vinapata ruzuku kwa sheria gani?
Matusi kwa chadema hiiiii Sera mnaiwezaaa.
Vyama vyote kikiwemo hicho chako kinala kodi za watanzania. Halafu unabwabwaja eti kwa sheria gani?
Ila nikawaida yenuuu sacoss.
Tutawaomba mapato na matumizi ya hizo fedha mnazochangisha walalahoi huku nyie mnatembelea v8.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…