Uchaguzi 2020 Naombeni tuchangie kampeni za CHADEMA kwa sababu tumeshachangia za CCM kupitia kodi zetu

Kipesa Chadomo chaliiiii, kwa hiyo safari hii Helicopter hatutoziona huku kwetu kijijini. Kweli . . . .Chama cha Mbowe pumzi imekata.
 
Nawaombeni wananchi wote wapenda HAKI tujitoe kuchangia walau kuanzia sh.500 ili kufanikisha kampeni za CHADEMA.
Hamuwezi kwenda kwa style hii ya kukamua walala hoi,mmetafuna ruzuku sasa jasho linawatoka,ndio Mana Mbowe alimtaka Nyalandu,haya yasingekuwepo
 
Msiwafanye wanchi ni wajinga,tuchange ku push maisha ya watu yasonge halafu masikini wabaki na umasikini wao! unadhani hiyo chadema hata ikiwa madarakani watafanya nini cha kuzidi alichofanya JPM? chadema ni wahuni tu na hataikija kutokea huko mbele chama hicho kikashika nchi tutakua tumegawa mali za wananchi kwa wakaskazini, labda chama hicho kijivue gamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…