nguvu ya buku
Senior Member
- Jul 15, 2025
- 168
- 549
Ni matusi kukiita kiinua mgongo kwasababu hata watumishi waliofanya kazi miaka 30+ katika taasisi kubwa kama Benki kuu, TRA, Bandarini, Tanapa, n.k. wengi sana hawapati hicho kiasi,
- Kuna jumla ya majimbo mangapi yenye wabunge
- Idadi ya wabunge Viti maalum
- Idadi ya wabunge wanaochaguliwa na Rais
- Wabunge wa Zanzibar
- n.k.