Naombeni tupige hesabu, Rais anateua watu wangapi nchini

Ni Saa ngapi huwa anapata muda wa kufuatilia utendaji wao wa kazi achalia mbali na majukumu yake ya kila siku kikatiba? Ndio maana watu wako huru kumuingiza kingi bila ajili… majukumu ni Mengi Kwa kweli…
 
Ndiyo maana rais wa tz Huwa anajiona kama Mungu mtu kumbe ni upuuzi mtupu.mabadiliko ya katiba yanahitajika ili kumpunguzia hayo madaraka makubwa ya kimungu mtu
 
Waalim wa kuaya.
 
Wabunge - 10
 
Wakurugenzi wa halimshauri za miji, majiji, na wilaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…