Naombeni tupige hesabu, Rais anateua watu wangapi nchini

Naombeni tupige hesabu, Rais anateua watu wangapi nchini

Kwa uelewa wangu mdogo

  • wakuu wa mikoa -31
  • makatibu tawala wa mikoa - 31
  • wakuu wa wilaya - 184
  • makatibu tawala wa wilaya - 184
  • Waziri mkuu - 1
  • Naibu waziri mkuu - 1
  • Mawaziri - 21
  • Naibu waziri - 21
  • IGP - 1
  • CDF - 1
  • Mkuu magereza - 1
  • Mkuu usalama - 1
  • wakuu wa vyuo - takriban 30
JUMLA - 508
Umesahau wakuu a mashirika ya serikali na wakurugenzi wa halmashauri, manispaa na majiji...

Lakini pia uzingatie tenguzi na teuzi za hao wateule kila mwezi!
 
Makatibu wakuu wa wizara.

Wabunge wa kutuliwa na rais,

Mabalozi

Mwanasheria mkuu wa serikali

Wakurugenzi wa mashirika ya umma

Wakurugenzi wa tume mbalimbali kama uchaguzi nk.

Majaji

Katibu wa bunge.
 
Hii katiba imepitwa na wakati kitambo sana

SERIKALINI anateua karibia viongozi na manaibu wote wa ngazi za juu na kwenye taasisi zake zoooote.
MAHAKAMANI anateua majaji wote
BUNGENI anateua Pm na nyongeza ya wabunge 10
anateua Katibu wa Bunge.
(Technically anateua hadi spika na naibu kama chairman wa CCM)

Huu ni UFALME sasa
 
Back
Top Bottom