Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Idadi ya halimashauri huwa ni kubwa kuliko idadi ya wilaya. Kuna wilaya zina halimashauri zaidi ya moja.Baadhi ya sehemu kuna makisio, mfano sina data ya kujua idadi kamili ya mashirika, vyuo, n.k.
Turekebishane nilipokosea, weka nyongeza niliposahau
JUMLA - 1026
- majaji wa mahakama - ???
- wakuu wa mikoa Bara - 26
- makatibu tawala wa mikoa Bara - 26
- wakuu wa wilaya - 174
- makatibu tawala wa wilaya - 174
- Wakurugenzi watendaji wa halmashauri - 174
- Waziri mkuu - 1
- Naibu waziri mkuu - 1
- Mawaziri - 21
- Manaibu waziri - 21
- Manaibu katibu wakuu wa wizara - 21
- Mabalozi ( chanzo ) - 43
- Mwanasheria mkuu - 1
- Naibu mwanasheria mkuu - 1
- wakili mkuu wa serikali - 1
- Jaji mkuu - 1
- CAG mkaguzi hesabu - 1
- Gavana benki kuu - 1
- Mkuu polisi - 1
- Mkuu jwtz - 1
- Mkuu jkt - 1
- Mkuu magereza - 1
- Mkuu usalama - 1
- Mkuu uhamiaji - 1
- Mkuu zimamoto - 1
- Mkuu Takukuru - 1
- wakuu wa vyuo (makisio) - 30
- wakuu wa mashirika / taasisi (makisio) - 300
upo sahihiIdadi ya halimashauri huwa ni kubwa kuliko idadi ya wilaya. Kuna wilaya zina halimashauri zaidi ya moja.
Msemaji wa serikaliBaadhi ya sehemu kuna makisio, mfano sina data ya kujua idadi kamili ya mashirika, vyuo, n.k.
Turekebishane nilipokosea, weka nyongeza
JUMLA - 1,082
- majaji wa mahakama - ???
- wakuu wa mikoa Bara - 26
- makatibu tawala wa mikoa Bara - 26
- wakuu wa wilaya - 139
- makatibu tawala wa wilaya - 139
- Wakurugenzi watendaji wa halmashauri - 185
- wabunge wanaoteuliwa na Rais - 10
- Waziri mkuu - 1
- Naibu waziri mkuu - 1
- Mawaziri - 21
- Manaibu waziri - 21
- Manaibu katibu wakuu wa wizara - 21
- Mabalozi - 43
- Katibu wa Bunge - 1
- Mwanasheria mkuu - 1
- Naibu mwanasheria mkuu - 1
- wakili mkuu wa serikali - 1
- Jaji mkuu - 1
- Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi - 1
- Msajili wa vyama vya Siasa - 1
- Naibu Msajili wa vyama vya Siasa - 1
- CAG mkaguzi hesabu - 1
- Gavana benki kuu - 1
- DPP Mkurugenzi wa Mashtaka - 1
- Mkuu polisi - 1
- Mkuu jwtz - 1
- Mkuu jkt - 1
- Mkuu magereza - 1
- Mkuu usalama - 1
- Mkuu uhamiaji - 1
- Mkuu zimamoto - 1
- Mkuu Takukuru - 1
- wakuu wa vyuo (makisio) - 30
- wakuu wa mashirika, taasisi, idara na tume nyinginezo (makisio) - 400
Huwa anateua DCI piaKwa polisi Rais huwa anateua IGP
IGP anateua RPC, OCD, n.k. au nimekosea ?
NimeongezaMkuu wa mamlaka kupambana na dawa za kulevya-DCEA
Nimeongeza kwenye listHuwa anateua DCI pia