Naombeni tupige hesabu, Rais anateua watu wangapi nchini

Wakurugenzi walipaswa wapigwe interview na secretariat ya ajira na iwe kazi ya mkataba...baada ya miaka kadhaa unatetea position yako kwa kusema ulichofanya
 
Idadi ya halimashauri huwa ni kubwa kuliko idadi ya wilaya. Kuna wilaya zina halimashauri zaidi ya moja.
 
Msemaji wa serikali
 
Wakuu wote wa vitengo vya jeshi- kamandi za anga, nchi kavu, navy, intelejensia, mnadhimu mkuu
 
Atari sana hii ndo maana anaabudiwa kupitiliza hadi wanamuita mheshimiwa mungu
 
Halafu kumbuka waswahili kwa kuremba curricullum vitae zao na mheshimiwa yeye anaangalia cv halafu mengine yanafuata.

Unakuta mtu ana masters ya strategy wakati nyumba yake.mwenyewe kaishindwa kui manage.

Katiba mpya ilete nafasu hizi watu waziombe na wafanyiwe usaili kwenye televised interview.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…