ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Watoto wa 2000 (ambao 95% wamejaa humu JFNasikia tu katika historia Mzee Nyerere alianzisha operesheni maalumu ya vijiji vya ujamaa..
Hali ilikuaje ilikuwa ni kwa force au kuhama kwa hiari.
Mwitikio ilikuaje je Kuna watu walipata madhara ya kisaikolojia na mali zao.je hilo zoezi lilifanikiwa na faida zake zipi?
Yule mzee anasema kaoteshwa kuwa mvua inanyesha au kutakuwa vita au lolote alilosikia kupitia kingβamuzi anacho tumia ikulu watu walimuona ana akili sana.Nasikia tu katika historia Mzee Nyerere alianzisha operesheni maalumu ya vijiji vya ujamaa..
Hali ilikuaje ilikuwa ni kwa force au kuhama kwa hiari.
Mwitikio ilikuaje je Kuna watu walipata madhara ya kisaikolojia na mali zao.je hilo zoezi lilifanikiwa na faida zake zipi?
Kwa Dar es Salaam ni Mbande (mbele ya Chamazi) na Gezaulole pia (Kigamboni)Mwenye anajua ni kijiji gani(kimoja tu) kilichoanzishwa wakati huo, anijulishe.
Kiliitwaje?
Watu wanaodaiwa kuhamishwa,
Walitoka wapi?
Na walienda wapi?
Je, bado wapo? Na kama wapo mbona huwa hatuwasikii?
Nimekaa pale.
Asante mkuu.Kwa Dar es Salaam ni Mbande (mbele ya Chamazi) na Gezaulole pia (Kigamboni)
AlhamduliLlah nilikuwepo.Nasikia tu katika historia Mzee Nyerere alianzisha operesheni maalumu ya vijiji vya ujamaa..
Hali ilikuaje ilikuwa ni kwa force au kuhama kwa hiari.
Mwitikio ilikuaje je Kuna watu walipata madhara ya kisaikolojia na mali zao.je hilo zoezi lilifanikiwa na faida zake zipi?
Nasikia tu katika historia Mzee Nyerere alianzisha operesheni maalumu ya vijiji vya ujamaa..
Hali ilikuaje ilikuwa ni kwa force au kuhama kwa hiari.
Mwitikio ilikuaje je Kuna watu walipata madhara ya kisaikolojia na mali zao.je hilo zoezi lilifanikiwa na faida
Operesheni Vijiji ya mwaka 1975 ilikuwa mpango wa serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Rais Julius Nyerere uliolenga kuwaunganisha wananchi katika vijiji vya ujamaa ili kurahisisha utoaji wa huduma za kijamii na kuendeleza siasa ya ujamaa na kujitegemea. Hata hivyo, mpango huu ulikuwa na faida na madhara kama ifuatavyo:Nasikia tu katika historia Mzee Nyerere alianzisha operesheni maalumu ya vijiji vya ujamaa..
Hali ilikuaje ilikuwa ni kwa force au kuhama kwa hiari.
Mwitikio ilikuaje je Kuna watu walipata madhara ya kisaikolojia na mali zao.je hilo zoezi lilifanikiwa na faida zake zipi?
What a grandmaAlhamduliLlah nilikuwepo.
Hakuna faida hata moja, hasara tupu. Watu wengi walidhalilishwa na wengi kufa na nchi mpaka leo mekuwa kama mkorogo wa kienyeji.
Kuna mashoga wa Dar walishikwa na kupelekwa geza ulole, baada ya miezi miwili mmoja, alikuwa maarufu sana Dar. akatoroka huko akawa anaonekana Β£Dar., anasema "heri ya jela kuliko huko, njaa tupu, mpaka mwanamme hakuna tena, ukiona ukuni umesimama ujuwe nyoka huyo, yamenishinda".Asante mkuu.
Walitokea wapi? Una ushahidi wowote ule? Labda kutoka kwenye kitabu, gazeti, makala n.k hii itatusaidia sana baadhi ya watanzania ambao tunayasikia haya leo.
Asante
Kwani ulikuwepo wakati wa MwamwindiWell said, Said Mwamwindi alikuwa mtu wangu sana.
Ni mtu poa sana lakini linapokuja suala la kudai haki yake ni mkali kama pilipili kichaa.
Mwamwindi anafaa kupigwa na vijana wa kileo waliotawaliwa na hofu.
Hahaha πMNAANDIKA VITU VINAVYOTAKIWA TUTEKELEZE WENGINE NI ALBINO
Ni 1974 ndugu, ndio umecopy pahali ila jifunze kusoma kilichoandikwa kukuza uelewa wako pia.
Operesheni Vijiji ya mwaka 1975 ilikuwa mpango wa serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Rais Julius Nyerere uliolenga kuwaunganisha wananchi katika vijiji vya ujamaa ili kurahisisha utoaji wa huduma za kijamii na kuendeleza siasa ya ujamaa na kujitegemea. Hata hivyo, mpango huu ulikuwa na faida na madhara kama ifuatavyo:
Faida za Operesheni Vijiji (1975)
- Upatikanaji wa Huduma za Kijamii β Serikali iliweza kutoa huduma kama shule, hospitali, maji safi, na barabara kwa urahisi kwa sababu watu walikusanywa katika vijiji maalum.
- Kuimarisha Kilimo cha Pamoja β Mfumo wa vijiji vya ujamaa ulihimiza kilimo cha ushirika, ambacho kilitarajiwa kuongeza uzalishaji wa chakula na maendeleo ya vijijini.
- Uimarishaji wa Umoja na Ushirikiano β Wananchi walihimizwa kufanya kazi kwa pamoja, kusaidiana, na kujenga mshikamano wa kijamii.
- Udhibiti wa Rasilimali β Serikali iliweza kusimamia na kugawa rasilimali kwa haki zaidi kwa wananchi wote waliokusanyika vijijini.
- Kudhibiti Uhamiaji Holela β Operesheni hii ilisaidia kudhibiti watu waliokuwa wakihama kiholela kutoka maeneo ya vijijini kwenda mijini, hivyo kupunguza msongamano mijini.
Madhara ya Operesheni Vijiji (1975)
- Kulazimishwa Kuhamia β Watu wengi walihamishwa kwa nguvu kutoka makazi yao ya asili kwenda vijiji vipya, jambo lililoleta usumbufu mkubwa kwao.
- Kuporomoka kwa Uzalishaji wa Chakula β Kwa kuwa baadhi ya wakulima walihamishwa kutoka maeneo yenye rutuba, uzalishaji wa mazao ulipungua na kusababisha upungufu wa chakula.
- Ukosefu wa Miundombinu Bora β Licha ya dhamira ya serikali, baadhi ya vijiji havikuwa na huduma bora kama maji safi, hospitali, na barabara, hivyo hali za maisha hazikuboreka kama ilivyotarajiwa.
- Upotevu wa Mali na Rasilimali β Watu wengi walipoteza mali zao walipohamishwa kwa ghafla, na baadhi ya mashamba yao hayakutumiwa ipasavyo.
- Upinzani kutoka kwa Wananchi β Baadhi ya wananchi walipinga mpango huu kwa sababu waliamini kuwa uliwanyima haki yao ya kuchagua mahali pa kuishi na kuendesha maisha yao.
- Udhaifu wa Kilimo cha Ushirika β Ingawa kilimo cha pamoja kilihamasishwa, ukosefu wa motisha kwa wakulima binafsi ulisababisha uzalishaji duni na kutegemea misaada ya serikali.
Kwa ujumla, Operesheni Vijiji ilikuwa na malengo mazuri ya kuleta maendeleo vijijini, lakini utekelezaji wake ulisababisha changamoto nyingi ambazo ziliathiri maisha ya wananchi kwa njia hasi.
Kuniuliza swali hilo ni sawa na kuuliza rangi ya mkaa.Kwani ulikuwepo wakati wa Mwamwindi
Zamani kuamisha watu au kuwakusanya aikuwa shida maana nyumba na makazi yao yalikuwa ni nyumba za udongo hakukuwa na umeme wala miundo mbinu yoyote hivyo kuwakusanya ilisahidia kuwapatia elimu ya watu wazima maana zaidi ya asilimia 90 ya watz walikuwa awajui kusoma wala kuandika.Nasikia tu katika historia Mzee Nyerere alianzisha operesheni maalumu ya vijiji vya ujamaa..
Hali ilikuaje ilikuwa ni kwa force au kuhama kwa hiari.
Mwitikio ilikuaje je Kuna watu walipata madhara ya kisaikolojia na mali zao.je hilo zoezi lilifanikiwa na faida zake zipi?