zous
JF-Expert Member
- Sep 25, 2017
- 3,152
- 5,854
Mbona mnatambia nusu nusu jamaa ilikuawaje mpk akafanya IvoIla ujasiri wa mwamwindi ni noma 🫡🫡🫡😀, unamfyatua RC risasi halafu unambeba mpaka kituoni..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mnatambia nusu nusu jamaa ilikuawaje mpk akafanya IvoIla ujasiri wa mwamwindi ni noma 🫡🫡🫡😀, unamfyatua RC risasi halafu unambeba mpaka kituoni..!
Huu mchakamchaka uliwahi tokea huko Ussr mwaka 1936-1937 ikijulikana kama GREAT PURGE.By force by power by 🔥 🔥 🔥
Inatoka order mnapewa mda , usipohama watu watakuja kukubeba wewe , mke na watoto tu.
Ni heri ukubali kuhama mapema unaweza kupewa msaada wa kubebewa vimbuzi vyako
Ni long story kidogoMbona mnatambia nusu nusu jamaa ilikuawaje mpk akafanya Ivo
Asante.Vijiji vya Ujamaa vilianza 1974 kwa lengo la kuwakusanya wananchi kukaa pamoja kwa ukaribu na kuzalisha mali e.g kilimo na ufugaji. Sina ufahamu hao wakazi wa Mbande au Gezaulole serikali iliwaweka hapo kutokea wapi. Ila vitabu vimeainisha vijiji vingi vilivyokuwepo e.g Mbande, Chanika n.k. Vipo vitabu vilivyoandika kuhusu vijiji vya Ujamaa ktk Makala yake kama vile: SOCIALISM IN TANZANIA (1972); Volume 1. Kimehaririwa na Cliffe & Saul, J.S.
Geza uloleMwenye anajua ni kijiji gani(kimoja tu) kilichoanzishwa wakati huo, anijulishe.
Kiliitwaje?
Watu wanaodaiwa kuhamishwa,
Walitoka wapi?
Na walienda wapi?
Je, bado wapo? Na kama wapo mbona huwa hatuwasikii?
Nimekaa pale.
Siku zote kufanya uchanganuzi wa hasara na faida hutegemea na mtazamo wa mtu au uzoefu watu aliyopitia au kuona. Hivyo, ni utata (complexity).Asante.
Nimepata kianzio cha kuyajua na kuyaelewa masuala haya.
Ilihali ni vigumu, na mtu yeyote yule asikudanganye, ni vigumu kuanza kutoa ufafanuzi wa faida na hasara ya operesheni iliyotokea 1974 bila kutambua upeo wa ki jiografia na hususani, maeneo waliyonyofolewa watu na kubwagwa.
Yaani, watu walihamishwa kutoka maeneo yapi[kutoka sehemu yeyote ile nchini] na kupelekwa maeneo mengine yepi.
Hiyo juu ndiyo ilikuwa ni premise ya swali langu huko juu.
Hata hivyo nitajitahidi kufanya kuperuzi kitabu hicho na vyanzo vingine ili kupata maelezo ya kina kabla ya kutoa ufafanuzi unaoeleweka zaidi ya assumptions zilizotolewa na "magwiji" wanaonekana wana biases zao.
Asante Mwafrika.
Jazia nyama bibie, Ili sisi wa 2000 tujue Kwa undani zaidi, ikiwezekana tugome huyo mwenye heri kuitwa mtakatifu.AlhamduliLlah nilikuwepo.
Hakuna faida hata moja, hasara tupu. Watu wengi walidhalilishwa na wengi kufa na nchi mpaka leo mekuwa kama mkorogo wa kienyeji.