Hii no reforms no marriage si tuiletee story yake kamili mkuuMh! kwahiyo ule walaka wa "No reform no marriage!" Haukukufikia...?
Weka namba nimalizie mahari maana kataa ndoa wakiona huu uzi wanaweza kukubadilisha msimamo.Mwaka huu nina mpango wa kuoa sasa Mwezi uliopita nilimtuma mshenga kwenda kuposa kwao Mchumba wangu, Sasa mshenga akanipa jibu posa imekubaliwa na kiasi cha mahali wakatajiwa ni Shilingi milioni mbili na laki mbili na 30, Mimi nikakubali kulipa ila nikawaomba nilipe kwa awamu tatu yani awamu ya kwanza nilipe Milioni moja na laki tatu, Baada ya mshenga kuwaambia hivyo Baba mkwe akajibu haiwezekani kulipa kwa awamu tatu anataka Mahari ilipwe kwa awamu mbili na tuseme awamu ya mwisho tutalipa lini, Mimi kiukweli kulipa kwa awamu mbili ni ngumu.
Sass hivi nipo naumiza kichwa.
Mahari ni utamaduni uliopitwa na wakati.Mwaka huu nina mpango wa kuoa sasa Mwezi uliopita nilimtuma mshenga kwenda kuposa kwao Mchumba wangu, Sasa mshenga akanipa jibu posa imekubaliwa na kiasi cha mahali wakatajiwa ni Shilingi milioni mbili na laki mbili na 30, Mimi nikakubali kulipa ila nikawaomba nilipe kwa awamu tatu yani awamu ya kwanza nilipe Milioni moja na laki tatu, Baada ya mshenga kuwaambia hivyo Baba mkwe akajibu haiwezekani kulipa kwa awamu tatu anataka Mahari ilipwe kwa awamu mbili na tuseme awamu ya mwisho tutalipa lini, Mimi kiukweli kulipa kwa awamu mbili ni ngumu.
Sass hivi nipo naumiza kichwa.
Wewe hauko tayari kuoa.Unaanzaje kubishia matakwa ya mwenye mtotoMwaka huu nina mpango wa kuoa sasa Mwezi uliopita nilimtuma mshenga kwenda kuposa kwao Mchumba wangu, Sasa mshenga akanipa jibu posa imekubaliwa na kiasi cha mahali wakatajiwa ni Shilingi milioni mbili na laki mbili na 30, Mimi nikakubali kulipa ila nikawaomba nilipe kwa awamu tatu yani awamu ya kwanza nilipe Milioni moja na laki tatu, Baada ya mshenga kuwaambia hivyo Baba mkwe akajibu haiwezekani kulipa kwa awamu tatu anataka Mahari ilipwe kwa awamu mbili na tuseme awamu ya mwisho tutalipa lini, Mimi kiukweli kulipa kwa awamu mbili ni ngumu.
Sass hivi nipo naumiza kichwa.
porojo hizi sasa hapo kauzwa vp? mbona mkishindwana anarudi kwao na fedha hairudishwiMahari ni utamaduni uliopitwa na wakati.
Ni biashara ya kuuza wanawake iliyohalalishwa na jamii tu.
na discount juuuMtie mimba kaa kimya muendelee na mapenzi yenu, kikubwa usimuache.
Ba mkwe ataomba apokee hata awamu nane
Sasa kama hauzwi mbona mtoa mada hawezi kwenda kumuoa bila hela?porojo hizi sasa hapo kauzwa vp? mbona mkishindwana anarudi kwao na fedha hairudishwi
Mwaka huu nina mpango wa kuoa sasa Mwezi uliopita nilimtuma mshenga kwenda kuposa kwao Mchumba wangu, Sasa mshenga akanipa jibu posa imekubaliwa na kiasi cha mahali wakatajiwa ni Shilingi milioni mbili na laki mbili na 30, Mimi nikakubali kulipa ila nikawaomba nilipe kwa awamu tatu yani awamu ya kwanza nilipe Milioni moja na laki tatu, Baada ya mshenga kuwaambia hivyo Baba mkwe akajibu haiwezekani kulipa kwa awamu tatu anataka Mahari ilipwe kwa awamu mbili na tuseme awamu ya mwisho tutalipa lini, Mimi kiukweli kulipa kwa awamu mbili ni ngumu.
Sass hivi nipo naumiza kichwa.