Naombeni ushauri biashara ya uwakala(M-PESA, tiGO Pesa nk)

Hustler_

Member
Joined
Jan 17, 2022
Posts
44
Reaction score
44
Habari zenu wana jamvi,

Mimi naishi Dar es salaam lakini nataka kufungua vibanda viwili vya uwakala niwe na yas, Airtel money na mpesa kwasababu wilayani kwetu mwanza mtaani Kuna uhaba sana

Lengo langu niwe na vibanda viwili wilaya nzima maeneo tofauti tofauti na mimi nikiwa huku huku Dar

Swali langu ni je biashara hii naweza kuunganisha laini zote mbili niwe napokea taarifa za commission za Kila mwisho wa mwezi sababu hii biashara ni mpya kwangu

Nahitaji niwe nafahamu Kila laini inaingiza kiasi gani kwa mwezi?

Kwa wazoefu wa hii biashara naombeni ushauri
 
Siijui sana. Ila kuna ndugu yangu kuna mwezi alipata kamisheni ya Halopesa elf6. Alibaki kajiinamia tu,skumuuliza mitandao mingine
Hahaha sasa anajiinamia kwa nini? Si alishaona kabisa Mwamala aloyofanya ni michache?
 
Habari zenu wana jamvi,

Mimi naishi Dar es salaam lakini nataka kufungua vibanda viwili vya uwakala niwe na yas, Airtel money na mpesa kwasababu wilayani kwetu mwanza mtaani Kuna uhaba sana

Lengo langu niwe na vibanda viwili wilaya nzima maeneo tofauti tofauti na mimi nikiwa huku huku Dar

Swali langu ni je biashara hii naweza kuunganisha laini zote mbili niwe napokea taarifa za commission za Kila mwisho wa mwezi sababu hii biashara ni mpya kwangu

Nahitaji niwe nafahamu Kila laini inaingiza kiasi gani kwa mwezi?

Kwa wazoefu wa hii biashara naombeni ushauri
Ila kuwa makini SANA, katika biashara ambazo ni rahidi kutapeliwa ni hii ya miamala, yaani unaweza kupigwa tukio ukajuta...labda uwepo wewee mwenyewe dirishani sheikh
 
Back
Top Bottom