beautifulonyinye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 728
- 481
- Thread starter
-
- #81
Mkuu napima Mara kwa Mara na last week nimetoka kupima ila mwenzangu ndo kikwazoKuna magonjwa mengi siku hizi yanaharibu kinga na kuwa na dalili Kama umeambukizwa HIV.
Nenda kapime.
Ukikutana na mtu aliyepigwa vizuri na kisukari utajua ni HIV
Mkuu HIV ni kitu kingine asee ukienda kupima tu kijasho kinakutokaWatu bado mnaogopa HIV?
Ntakuja tupige mechi moja matata sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu mie I don't mind I can handle the situation as long as Niko safe
Pole kwa kuwa hujaiona hatari yenyewe
Una hasira balaa...Hayo ndo mawazo yako sio reality so its up to u kuona ukweli au uongo maana watu kama nyie hamkosi na utambue kwamba kuwa katika mahusiano sio kufanya ngono kila siku kama unavodhani ndo mana labda unaona mwaka mwingi
Sasa kama you dont care what 'she' thinks,would you care mawazo ya mtu mwingine humu?Acha kukalili maisha haya utatoka kapa , na namshukuru mungu kwamba mm napimaga Mara kwa Mara so I don't care what u think ila nachojua watu tunatofautiana uelewa kwahiyo wewe ndo ulivoelewa, na hata ningekuwa ninao naanzaje kukataa wakati nobody knows me in here, anyway tchaoo
Dalili mojawapo ni mtu kuwa mbishi, badili kituo unachopimia upate majibu mapya, maana dalili unazoziulizia naona baadhi unazo wewe.Hayo ndo mawazo yako sio reality so its up to u kuona ukweli au uongo maana watu kama nyie hamkosi na utambue kwamba kuwa katika mahusiano sio kufanya ngono kila siku kama unavodhani ndo mana labda unaona mwaka mwingi
Na kama she doesn't care about how watu alowaomba ushauri wana 'think' kwanini kaja kuuliza maswali yake humu.!Kiburi kingi ndio maana anakataliwa kupima.Sasa wasiwasi wako wanini!! !?! Tumia Ukali wako kwabwanako mpka akapime! It's an order!!
Last week mkuuHuyo sehemu alizopita anawasiwasi. ,na wewe mara ya mwisho umepima lin
[emoji87] [emoji87] [emoji134] [emoji134] [emoji9]Ukiona kanenepa saaana ujue anangoma... Ukiona anakupa hela saana ujue anangoma. Ukiona anakula sana matunda na mboga za majani. Basi ujue huo ni ushauri wa daktali kashafwaliki huyo.... Haya sema lingine tukupe ushauri
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] u can't be serious mkuuYaani unakaa na mtu anayeogopa kupima, ana wasiwasi wa kuwa na ukimwi na unaendelea kumpa hiyo nyapu? Eti unajidai kwamba unatumia kondom?
Piga kavu tu, siku hizi ukimwi hauambukizwi kwa ngono.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] u can't be serious mkuu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Ntakuja tupige mechi moja matata sana
Kwanza huyu mwenyewe seems ni janga tu, ila kaamua kufurahisha jukwaa leo.Hivi ukifanya self assessment unajisikia zimetimia kweli?
Sawa daktari bingwaDalili mojawapo ni mtu kuwa mbishi, badili kituo unachopimia upate majibu mapya, maana dalili unazoziulizia naona baadhi unazo wewe.
Ndo mana nilisema watu tunatofautiana uelewa na pia mpaka hapa nshapata ushauri kwa walioelewa thread bila mabishano yoyote,Na kama she doesn't care about how watu alowaomba ushauri wana 'think' kwanini kaja kuuliza maswali yake humu.!Kiburi kingi ndio maana anakataliwa kupima.
Sasa kama you dont care what 'she' thinks,would you care mawazo ya mtu mwingine humu?