Naombeni Ushauri: Dalili za mtu ambaye ni HIV carrier

Naombeni Ushauri: Dalili za mtu ambaye ni HIV carrier

Kuna magonjwa mengi siku hizi yanaharibu kinga na kuwa na dalili Kama umeambukizwa HIV.
Nenda kapime.
Ukikutana na mtu aliyepigwa vizuri na kisukari utajua ni HIV
Mkuu napima Mara kwa Mara na last week nimetoka kupima ila mwenzangu ndo kikwazo
 
Acha kukalili maisha haya utatoka kapa , na namshukuru mungu kwamba mm napimaga Mara kwa Mara so I don't care what u think ila nachojua watu tunatofautiana uelewa kwahiyo wewe ndo ulivoelewa, na hata ningekuwa ninao naanzaje kukataa wakati nobody knows me in here, anyway tchaoo
Sasa kama you dont care what 'she' thinks,would you care mawazo ya mtu mwingine humu?
 
Hayo ndo mawazo yako sio reality so its up to u kuona ukweli au uongo maana watu kama nyie hamkosi na utambue kwamba kuwa katika mahusiano sio kufanya ngono kila siku kama unavodhani ndo mana labda unaona mwaka mwingi
Dalili mojawapo ni mtu kuwa mbishi, badili kituo unachopimia upate majibu mapya, maana dalili unazoziulizia naona baadhi unazo wewe.
 
Sasa wasiwasi wako wanini!! !?! Tumia Ukali wako kwabwanako mpka akapime! It's an order!!
Na kama she doesn't care about how watu alowaomba ushauri wana 'think' kwanini kaja kuuliza maswali yake humu.!Kiburi kingi ndio maana anakataliwa kupima.
 
You cannot tell if anyone is HIV positive. The way to know if someone is HIV positive is if they tell you about their status and they have had conclusive evidence from an HIV test tofauti na hapo itakuwa ni kujidanganya tu! Tuache hizi mambo za kunyoosheana vidole kwamba someone is H.i.V carrier kabla hujapata uthibitisho wa hayo yote! Kwangu mimi sina cha kukwambia kwenye hilo period!
 
Ukiona kanenepa saaana ujue anangoma... Ukiona anakupa hela saana ujue anangoma. Ukiona anakula sana matunda na mboga za majani. Basi ujue huo ni ushauri wa daktali kashafwaliki huyo.... Haya sema lingine tukupe ushauri
[emoji87] [emoji87] [emoji134] [emoji134] [emoji9]
 
Yaani unakaa na mtu anayeogopa kupima, ana wasiwasi wa kuwa na ukimwi na unaendelea kumpa hiyo nyapu? Eti unajidai kwamba unatumia kondom?

Piga kavu tu, siku hizi ukimwi hauambukizwi kwa ngono.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] u can't be serious mkuu
 
Hivi ukifanya self assessment unajisikia zimetimia kweli?
Kwanza huyu mwenyewe seems ni janga tu, ila kaamua kufurahisha jukwaa leo.
Kama mmewe tu hawaendani had hamuheshim kufanya jambo la maana kama hilo la kupima ina maana huyo jmaa anamchukulia kama kiazi tu no need to consider her concerns! Tulizana upate mme wa haki yako hawa wengine mnajilazimishiaga tu kiubishi bishi.
 
Na kama she doesn't care about how watu alowaomba ushauri wana 'think' kwanini kaja kuuliza maswali yake humu.!Kiburi kingi ndio maana anakataliwa kupima.
Ndo mana nilisema watu tunatofautiana uelewa na pia mpaka hapa nshapata ushauri kwa walioelewa thread bila mabishano yoyote,
 
Back
Top Bottom