beautifulonyinye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 728
- 481
- Thread starter
- #81
Mkuu napima Mara kwa Mara na last week nimetoka kupima ila mwenzangu ndo kikwazoKuna magonjwa mengi siku hizi yanaharibu kinga na kuwa na dalili Kama umeambukizwa HIV.
Nenda kapime.
Ukikutana na mtu aliyepigwa vizuri na kisukari utajua ni HIV