katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Niko njipanda unataka ukapange chumba uishi mwenyewe au ulikuwa uko na mtu unataka uwe single kwa mudaMimi ni mdada na kazi yangu na maisha yangu, nimekuja kuomba ushauri jinsi ya kuweza kuishi single maana mchumba niliyekuwa naye ameniumiza.
Nataka nianze kuwa single, niishi vipi mpaka nimsahau kabisa na maisha yaendelee?
Including broken heart[emoji174].... But along the life line if touched by a loving[emoji173] n caring arm... Chords that are broken will vibrate[emoji176] one more!Time heals everything
Tumeumbiwa kusahau.. That's why we fall in love again n again ...Mapenzi yakikuchanganya unaachana nayo kwa muda unafanya mambo mengine.
Yanarudigi yenyewe naturally. ukitafuta solution ya haraka utaumizwa na "vidaka chozi"
Na chupi yenyewe isiwe bikini...Ukiwa single unalala na chupi usiku. Usisahau hilo muhimu sana. 😜
Sure aisee, I have experienced that.Including broken heart[emoji174].... But along the life line if touched by a loving[emoji173] n caring arm... Chords that are broken will vibrate[emoji176] one more!
Una miaka mingapi..?Mimi ni mdada na kazi yangu na maisha yangu, nimekuja kuomba ushauri jinsi ya kuweza kuishi single maana mchumba niliyekuwa naye ameniumiza.
Nataka nianze kuwa single, niishi vipi mpaka nimsahau kabisa na maisha yaendelee?
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji23]watu na maujuzi yaoNa chupi yenyewe isiwe bikini...
Maana siku hizi unapanua tako ili uone chupi tofauti na enzi zetu unavua chupi ili uone tako...
Umeulizwa mbona una mambo ya kike mwanaume aliekamilika hawezi fanya mambo kama haya jitathimini vizuri itakuwa jinsia uliyokuwa nayo si yakoHutaki tena mume?View attachment 1890615
PoaUkiwa single unalala na chupi usiku. Usisahau hilo muhimu sana. [emoji12]
AsanteNi hatua tu katika maisha, si ajabu hasira ikiisha / kupungua ukamsamehe (mkasameheana) mkaanza upyaaaaaaa, na kwa kawaida ile show ya kwanza baada ya kusameheana huwa ni tamu sana
PoaKakuumiza kwa kipi? Isijekuwa alikwambia ukwel ubadirike ww ukachukia
AsanteMapenzi yakikuchanganya unaachana nayo kwa muda unafanya mambo mengine.
Yanarudigi yenyewe naturally. ukitafuta solution ya haraka utaumizwa tena na "vidaka chozi"
AsanteJitahidi kujichanganya na watu mbalimbali ili usiwe mpweke.
AsanteTumeumbiwa kusahau.. That's why we fall in love again n again ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na chupi yenyewe isiwe bikini...
Maana siku hizi unapanua tako ili uone chupi tofauti na enzi zetu unavua chupi ili uone tako...