Naombeni ushauri jinsi ya kuanza maisha ya kuwa single

Naombeni ushauri jinsi ya kuanza maisha ya kuwa single

Mimi ni mdada na kazi yangu na maisha yangu, nimekuja kuomba ushauri jinsi ya kuweza kuishi single maana mchumba niliyekuwa naye ameniumiza.

Nataka nianze kuwa single, niishi vipi mpaka nimsahau kabisa na maisha yaendelee?
Niko njipanda unataka ukapange chumba uishi mwenyewe au ulikuwa uko na mtu unataka uwe single kwa muda
 
Time heals everything
Including broken heart[emoji174].... But along the life line if touched by a loving[emoji173] n caring arm... Chords that are broken will vibrate[emoji176] one more!
 
Including broken heart[emoji174].... But along the life line if touched by a loving[emoji173] n caring arm... Chords that are broken will vibrate[emoji176] one more!
Sure aisee, I have experienced that.
 
Mimi ni mdada na kazi yangu na maisha yangu, nimekuja kuomba ushauri jinsi ya kuweza kuishi single maana mchumba niliyekuwa naye ameniumiza.

Nataka nianze kuwa single, niishi vipi mpaka nimsahau kabisa na maisha yaendelee?
Una miaka mingapi..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na chupi yenyewe isiwe bikini...

Maana siku hizi unapanua tako ili uone chupi tofauti na enzi zetu unavua chupi ili uone tako...
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji23]watu na maujuzi yao
 
mkiwaga kweny mahusiano yenu yasiojulkna yanahusiana na nn mnatudharau sana masingle[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], haya sasa umekuja..karbuu saana sie hatuna zarau wala nn karbuu kwenye chama la wana, kulia lia kijinga ni upumbv, na ukomee kuwaza upuuz wa x wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_16287610246608067.jpg
 
Na chupi yenyewe isiwe bikini...

Maana siku hizi unapanua tako ili uone chupi tofauti na enzi zetu unavua chupi ili uone tako...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom