Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
-
- #41
Kwahiyo mkuu ni Bora useme hujakuepoAtakaa wiki
Nikutonye tu, kesi zinazoonekana nyepesi Kuna muda hugeuka kuwa ngumu na ukaishia kusota jela.
We endelea kuchati jamiiforums ubebwe halafu ukijifanya jeuri PP atakupeleka mahakamani.
Huko ukienda kukiri tu Eti ulikuwepo wakati raia wakimpiga ila wewe hukumpiga unakula mvua kwa makosa Yale Yale ya waliompiga.
Jiongeze fallah wewe 😬😬😬
Kabisaaa! Kataa kata kata!Kwahiyo mkuu ni Bora useme hujakuepo
Sawa mkuu umenifumbua aisee nitasema nilikua nimelala na uzuri ilikua usiku saa 7Kabisaaa! Kataa kata kata!
Kwanini mkuuSHIDA hujawahi ibiwa
DuuhThose who feel guilty are afraid
Ukiwa na hela utatoka chap.Huku mtaani kuna mwizi alichezea kichapo usiku baada ya kutuhumiwa ni mwizi na kama mnavyojua hili neno ukiitiwa usiku wa saa 7 hata kama sio mwizi raia wanapiga.
Sasa inasemekana kapona hajafa na polisi wanataka kumpitisha awatambue waliompiga na Mimi nilikua nimeenda kumshuhudia akichezea kipondo nawaza asijepata wenge akanijumuisha na Mimi kwamba nilimtembezea mkong'oto.
Nauliza hapa kama nikakamatwa na mimi natokaje kwenye huu msala wakuu sababu hapa JF ni kisima cha maarifa.
Utakuwa umemtia hata konzi mkuuDuuh
Sawa mkuuUkiwa na hela utatoka chap.
Hamna mkuuUtakuwa umemtia hata konzi mkuu
Hamna m
Basi hauna haja ya kuhofia sababu haujafanyaHamna mkuu
kama umewahi kuibiwa ombea sauti ya mwiziii ,usiisikie ni lazima uhusike kuuaKwanini mkuu