Naombeni ushauri kuhusu huyu mwizi aliyepigwa Mtaani kwetu

simu umeipataje ukaanza kuchat acha uongo ukikamatwa unanganywa simu
 
Tabia ya kupiga mwizi ni tabia ya kishetani.
Labda mungu Allah (ant Christ) ndiye anaweza kuruhusu hiyo tabia. Ila according to Jehovah form the time of pre old testament, old testament, and New testament hakuna mahali ameruhusu tabia chafu ya kupiga mwizi
 
Vipi tabia ya wezi kuua watu na kuwaibia Kuna sehemu imeandikwa hiyo mkuu
 
Vipi tabia ya wezi kuua watu na kuwaibia Kuna sehemu imeandikwa hiyo ?
Je, katiba na Sheria ya nchi yako inaruhusu kuua mwizi kinyama?
Kuna rafiki yangu alikuwa mwanafunzi UDSM yeye na mdogo wake wa baba mmoja mama mmoja waliuwawa na watu kama wewe wasio na akili timamu.
Waliporudi chuo usiku wakielekea hostel wawili wezi waliwavamia kwakuwa vijana ndo kwanza walikuwa wanetoka jkt wakawapiga wale wezi vizuri. Wezi wakaanza kuwaitisha jamaa ni wezi . Wakauwawa na kuchomwa moto . Watu ambao nawafahamu vizuri wenye tabia njema waliuwawa na group la vibaka pamoja na wananchi matahira. Ilipojulikana ikawa too late
 
Mimi kama mmiliki wa boda boda na bajaji nasema pia wewe ulishiriki na nia yenu ilikua ni kumtoa uhai kijana wa watu🤔
 
Au ni yule mwizi wa tegeta alieuliwa na TRA unaemuongelea hapa
 
Hama mtaa tu jela sio kuzuri. Na kama umempiga kweli muombe Mwenyezi Mungu msamaha na usirudie tena kupiga watu ambao huna uhakika kama ni wezi au la. Huwenda hakuwa mwizi kweli
 
Wewe sema tu ukweli ili upate ushauri wa kukuokoa,ulirusha mawe mangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…