Naombeni ushauri kuhusu Kijana huyu

Naombeni ushauri kuhusu Kijana huyu

Mpeleke hospitali kwaajili ya matibabu na ushauri nasaha.

Hata kama angekuwa ameingiliwa zaidi ya mara 3 bado anaweza kupona na kuendelea kuwa Mwanaume rijali akiamua.

Kwasasa suala la malezi limekuwa mtihani kidogo, nashauri kama Wazazi kuongeza umakini kwa Watoto wetu wa kiume.

Hali mtaani imekuwa sio nzuri kwa kweli.

Kuna mtoto wa jirani yetu, amehamishwa shule zaidi ya mbili za private kutokana na suala ulawiti huko shuleni.

Wazazi tupunguze ubusy ili kupata muda wa kuongea na vijana wetu juu ya athari za kukubali kuingiliwa, ushawishi umekuwa mkubwa huko shuleni lakini pia mtaani wanapokuwa wanacheza.

Mungu atusaidie kuwalinda Watoto wetu
 
Kuna mtoto Naishi Naye ni WA wife ,yeye anamiaka 9 wa jinsia me ,alilawitiwa na mwanafunzi mwenzake,je Ni namna gani ninaweza kumfanya aachane na tabia hii,yeye Kwa maelezo yake alishawahi kufanyiwa hicho kitendo kijijini Kwa bibi yake kabla na nilivyomleta huku akafanyiwa tena.

Tumia mafundisho ya Mungu, na uwe unampeleka kanisani awe na hofu ya Mungu

Au Mfundishe kuwa mwanaume anakuwa aingiza sio kuingiziwa tango,Ikiwezekana kumuokoa muonyeshe kavideo kabisa inavyokua.Mtishie ukifanyiwa mara ya tatu unakufa.Ila msisitize asuburi akiwa mkubwa ndio aanze kuchakata hizo mbususu.Akisogea mtafutie kidemu mapema huna namna kuliko kuwa na mchicha poli.
 
Miaka 9 huyo si bakora tu mzeee... mdogo wangu mwaka huu katimiza 10yrs mwaka jana walikuwa wanacheza michezo ya kushikana matako na wenzie nilikamata watoto wote walikuwa 11 nakawapeleka home walichezea bakora za hatari na wazazi wao wakaja home wakawaongez bakora mpka leo respect ....

Mnalea watoto kimama mama watakuwa mashoga kweli wa badae waje watusumbue kama mseng.e cocastic
 
Kwa malezi haya ndio maana ushoga unaenea sana.
 
Miaka 9 huyo si bakora tu mzeee... mdogo wangu mwaka huu katimiza 10yrs mwaka jana walikuwa wanacheza michezo ya kushikana matako na wenzie nilikamata watoto wote walikuwa 11 nakawapeleka home walichezea bakora za hatari na wazazi wao wakaja home wakawaongez bakora mpka leo respect ....

Mnalea watoto kimama mama watakuwa mashoga kweli wa badae waje watusumbue kama mseng.e cocastic
Hapa ni sawa 😅😅😅 cocastic tena, anakuja.
 
Aisee muwe mnatenga muda wa kukaa na watoto wenu kuwahoji kama wanakutana na changamoto gani,na kuwapa vitisho juu ya hicho kitendo na kuondoa hofu wakishawishiwa au kutishisha kutokusema wakifanyiwa,

mpe uhuru mwanao asiwe muoga mwambie kuwa wewe upo kwaajili yake na hauogopi kitu/mtu,chochote au yeyote atakayemshawishi au kumtishia afanyiwe hivyo aje aseme kwako,
 
Miaka 9 huyo si bakora tu mzeee... mdogo wangu mwaka huu katimiza 10yrs mwaka jana walikuwa wanacheza michezo ya kushikana matako na wenzie nilikamata watoto wote walikuwa 11 nakawapeleka home walichezea bakora za hatari na wazazi wao wakaja home wakawaongez bakora mpka leo respect ....

Mnalea watoto kimama mama watakuwa mashoga kweli wa badae waje watusumbue kama mseng.e cocastic
mkuu edit hapo mwisho (futa aya nzima) kabla uliemtaja hajaona. Unapigwa ban soon
 
Acha woga, acha kutetea upuuzi. We unaogopa ban huoni huyo mjinga anavyochekelea huo upuzi. Anaharibu watu, kuna siku member humu anamuuliza avatar ni picha yake, alipojibiwa ndio member kasema kuna uhalali, lakini IGNORE option kwangu haikuwa mbali, ilitumika.
 
Miaka 9 huyo si bakora tu mzeee... mdogo wangu mwaka huu katimiza 10yrs mwaka jana walikuwa wanacheza michezo ya kushikana matako na wenzie nilikamata watoto wote walikuwa 11 nakawapeleka home walichezea bakora za hatari na wazazi wao wakaja home wakawaongez bakora mpka leo respect ....

Mnalea watoto kimama mama watakuwa mashoga kweli wa badae waje watusumbue kama mseng.e cocastic
Point, ila na mafundisho ni muhimu mkuu
 
Acha woga, acha kutetea upuuzi. We unaogopa ban huoni huyo mjinga anavyochekelea huo upuzi. Anaharibu watu, kuna siku member humu anamuuliza avatar ni picha yake, alipojibiwa ndio member kasema kuna uhalali, lakini IGNORE option kwangu haikuwa mbali, ilitumika.
udhalilishaji
 
Aisee muwe mnatenga muda wa kukaa na watoto wenu kuwahoji kama wanakutana na changamoto gani,na kuwapa vitisho juu ya hicho kitendo na kuondoa hofu wakishawishiwa au kutishisha kutokusema wakifanyiwa,

mpe uhuru mwanao asiwe muoga mwambie kuwa wewe upo kwaajili yake na hauogopi kitu/mtu,chochote au yeyote atakayemshawishi au kumtishia afanyiwe hivyo aje aseme kwako,
Shikamoo
 
Ulioa singo maza? Kwanini useme ni kijana wa wife?

Jibu haya maswali nijue pa kuanzia
 
Back
Top Bottom