Hamza Nsiha
JF-Expert Member
- Jul 25, 2022
- 221
- 197
Ndugu wana JamiiForums ninapenda kuomba ushauri hivi nikitaka kuoa nizingatie sifa zipi (characteristics)
Kwasababu hivi sasa hakuna ndoa imekuwa ni complex organization ambayo inaundwa na vipengele vidogo vidogo vingi.
Unaweza oa kwa kuangalia hiki, then mkashindwana kwa kile.
Hivyo basi, mwenye anaona certain characteristics ndio excellent kwenye ndoa anieleze kidogo ili nijue kama ni kabila, rangi ya ngozi, shepu n.k