Usithubutu utalia na kusaga meno
Kua makini mzee!!!!
Faida iweke 3:2-Wewe:YeyeUnaingizwa kwenye mfumo wa kushinda polisi/mahakamani kila siku endelea kupambana mwenyewe. Wanawake ni sumu kwenye hizi harakati za biashara.
Mbele ya pesa hamna kuaminiana.Usithubutu utalia na kusaga meno
Kweli kabisa 🤝Mbele ya pesa hamna kuaminiana.
Achana na hizo mamboView attachment 3550790
Nimepata mdau ameniomba aweke mtaji kwenye ofisi yangu kesho ndo nataka nikamsikilize.
Ila ni kuongeza bidhaa ofisini
Mm plani yangu ni kama ataongeza mtaji basi nilitaka nimwambie mtaji wake tuweke kwenye simu ndogo za batani radio za kuchajisha na sabufa zisizo zidi Bei ya 120
Na bidhaa completel mfano majagi pasi za umeme NK. Ila mm nibaki na kuuza tu vifaa mfano hapo kwenye picha.
Sasa wadau naomba mnipe mawazo je nifanye naye maongezi au nitemane naye tu.
Maana muuzaji nakuwa mm na faida tutagawanaje mfano labda iteli ndogo tumenunua 24 halafu tukauza 30 faida inakuwa ni 6000 je mgao utakuwaje hapo? Ofisi ni yangu na Kodi nalipa mm.
Ni mdada kwa mwonekano ni watu wanaojitambua.
Je? Ni mwekee kiwango gani Cha mtaji Cha kuanzia kisiwe chini ya kiasi Fulani?
Hili wazo kwangu pia naliona kama sio baya sababu maduka kadhaa mjini naonaga Kuna vijana wanauza au kufanya kwa pamoja.
Je nifanye taratibu zipi ili ukitokea usumbufu mbele labda usijekuniathiri pia kwenye ofisi yangu?
Swali wewe ndie unahitaji mshirika au yeye ndio ametaka awe mshirika na wewe?View attachment 3550790
Nimepata mdau ameniomba aweke mtaji kwenye ofisi yangu kesho ndo nataka nikamsikilize.
Ila ni kuongeza bidhaa ofisini
Mm plani yangu ni kama ataongeza mtaji basi nilitaka nimwambie mtaji wake tuweke kwenye simu ndogo za batani radio za kuchajisha na sabufa zisizo zidi Bei ya 120
Na bidhaa completel mfano majagi pasi za umeme NK. Ila mm nibaki na kuuza tu vifaa mfano hapo kwenye picha.
Sasa wadau naomba mnipe mawazo je nifanye naye maongezi au nitemane naye tu.
Maana muuzaji nakuwa mm na faida tutagawanaje mfano labda iteli ndogo tumenunua 24 halafu tukauza 30 faida inakuwa ni 6000 je mgao utakuwaje hapo? Ofisi ni yangu na Kodi nalipa mm.
Ni mdada kwa mwonekano ni watu wanaojitambua.
Je? Ni mwekee kiwango gani Cha mtaji Cha kuanzia kisiwe chini ya kiasi Fulani?
Hili wazo kwangu pia naliona kama sio baya sababu maduka kadhaa mjini naonaga Kuna vijana wanauza au kufanya kwa pamoja.
Je nifanye taratibu zipi ili ukitokea usumbufu mbele labda usijekuniathiri pia kwenye ofisi yangu?
Mwamba ataishia kupewa nyapu tuMtaishia kugombana hasa kama mtakosa hekima wote na terms kama haziko clear
Hapo ni lazima mmoja akubali kuwa chini kwenye baadhi ya maamuzi
Je wewe una uhitaji wa kuongeza huo mtaji kwa sasa? Duka lako lina demand ongezeko la mtaji kwa sasa?Maana muuzaji nakuwa mm na faida tutagawanaje mfano labda iteli ndogo tumenunua 24 halafu tukauza 30 faida inakuwa ni 6000 je mgao utakuwaje hapo? Ofisi ni yangu na Kodi nalipa mm.
Aisee,Ni mdada kwa mwonekano ni watu wanaojitambua.
Hakuna mgao hapo, yote ni yake.mfano labda iteli ndogo tumenunua 24 halafu tukauza 30 faida inakuwa ni 6000 je mgao utakuwaje hapo? Ofisi ni yangu na Kodi nalipa mm.
Aisee,
Hakuna mgao hapo.
Siku akikutega akakulisha mzigo na kuifinyia ndani vizuri, biashara nzima utamkabidhi iwe yake