Mdau ni timu pinzani;? Duh! Aongeze umakini😀Mwamba ataishia kupewa nyapu tu
Umempa ushauri bora sana huu, maana mh!Fanya kile ambacho moyo wako una amani ,usilazimishwe kufanya chochote. Pili kama ukiingia nae makubaliano,hakikisheni mkataba unaandaliwa na mwanasheria,usifanye makubaliano ya mdomo. Mwanasheria aandae makubaliano na kila kitu kuhusu makubaliano hayo kitajwe kwenye mkataba,hata kimoja kisiachwe