Naombeni ushauri kuhusu mahusiano haya ya mama yangu na huyu mwanaume

Wajomba huenda choka mbaya wanamtegemea dada Yao kwa pesa
 
Tatizo lipi hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo gani madame!
.
 


Naunga hoja kabisaaa!...ni vile maza hawez kuwaelezea wht she has been throu na rlshp zake nne!..so anamaumivu fulani moyoni...acha ajipoze jamani/! I like her
 
Pole sana.
 
Poleni,wanaowasimanga hapa hawajapitia mnayopitia. Duh mmetangishwa sana tangu utoton inaonekana maza hajatulia kabisaa. Hali hio muizoee tu

Kuna wamama/wababa hawashuriki,mapenzi ni upofu.
 
Ikiwaga hivyo hakunaga hata kikaoπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„..salute kwa sisy yao..lols..pesa ndo mchawi wao
Mkuu, ukute maza anawa-frustrate makusudi hawa vijana wahame..
Kawachoka labda kula kulala bure, KKB??
Kisha wanajidai wanaleta vibezi. πŸ˜€
Tujiulize kwann amuogope kaka mkubwa?
Huenda huyo bro tiyari ana maisha...

Madogo wakapige vibarua wakapange, waishi kimpango wao..hapo maza aweza gawa URITHI hiyo nyumba kwa ANKALI, na hawana cha kumfanya.

Everyday is Saturday...........................😎
 
kwa kweli mamaza huwa wanaharibu sana kuzaa na wanaume wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…