Naombeni ushauri kuhusu mahusiano haya ya mama yangu na huyu mwanaume

Naombeni ushauri kuhusu mahusiano haya ya mama yangu na huyu mwanaume

Poleni,wanaowasimanga hapa hawajapitia mnayopitia. Duh mmetangishwa sana tangu utoton inaonekana maza hajatulia kabisaa. Hali hio muizoee tu

Kuna wamama/wababa hawashuriki,mapenzi ni upofu.
Hali hiyo ingewafanya mchakarike muwe na maisha yenu ya kujitegemea Sasa nyie mmebweteka kumchunguza mama na ki-serengeti chake.
 
Dogo pole sana. Hebu mtafute mjombaako umshirikishe. Hata kama mjomba yuko upareni au ukerewe au Machame mfuate huko huko. Mjomba anaweza kum discipline bi mkubwa
 
Achananeni na mama yenu, kila mtu akatafute maisha yake, nyinyi sasa ni wakubwa. Kila mtu atambae zake.
Hiyo aibu ya mama yenu kutombwa ovyo ovyo na wanaume ipelekeni kwa wajomba tu.

Kama njia hiyo mnaona ni ngumu basi mjaribu njia nyingine mbaya zaidi. Anzeni kupambana na huyo mwanaume. Mtafuteni mkewe, halafu mwambie aje kupachimbicha kwa mama yenu (kumbukeni dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake). Upande wa pili mtafute vijana wahuni watakaibuka na kumpa kichapo cha mbwa mwizi huyo mwanaume siku akitinga hapo home kwenu kwa mama yenu.
 
Habari zenu,

Naombeni ushauri na njia za kutatua tatizo hili.Ipo hivi kwenye tumbo la Mama yetu tulikuwa watoto 7 hadi Leo hii tupo 4. Katika watoto 7 tumezaliwa na Baba tofautitofauti 4. Katika hao baba zetu kuna moja wao ndio tumekuliwa kwake toka tukiwa wadogo badaye miaka 6 iliyopita Mama alitengana Nate.

Mama ni mtumishi wa umma, hivyo alinunua kiwanja na kujenga nyumba ambapo watoto wote 4 tuliongozana nae na kwenda kuishi nae, maana haikuwezekana kukaa tena kwa huyo baba mlezi sababu katika wathili.4 tuliobaki kati yetu 1 tu ndio mwanae kwahiyo ikabidi wote sisi sote tuongozane na mama. Ikumbuke kuwa katika sisi watoto 4, mtoto 1 hamjui baba yake wengine 2 Baba yao alifariki na mtoto 1 baba take ndio huyo aliyetulea.

Sisi sote miaka yetu ni 24+ na Mama yetu ni 52, jambo linalotusumbua ni kuwa Mama yetu ana mwanaume mwingine ambaye ni mume wa mtu. Jamaa huyu huwa anakuja na kulala hapa nyumbani karibu kila siku; huwa anasitisha kuja pale ambapo kaka yetu mkubwa akija nyumbani.

Ndugu na marafiki wamejaribu kumshauri mama kuwa tayari umri umekwenda na ana vijana wakubwa anatakiwa kuacha mambo hayo pasipo mafanikio, haelezeki wala haambiwi chochote. Kwa sasa tumefunga chuo sababu ya hii CORONA nipo hapa home naona aibu kijiji kizima kinatuzungumza.

Kaka yangu mkubwa alijaribu kuongea na muyo bwana mwaka jana; kwa kweli jamaa alisitisha kama miezi 2 hivi pasipo kuonekana, badaye ratiba ikaanza kama kawaida nimemjulisha kaka atafute siku 3 nyumbani tusaidiane kutatua tatizo hili. Pia, kila tukimsuhi Mama kuacha hiyo tabia majibu anayotupa ni kuwa huu mji ni wake na hamna aliyemsaidia kujenga hivyo anafanya chochote atakacho.

Ndugu zangu wana JF, naombeni msaada wa mawazo namna ya kutatua tatizo hili.
Huyo Baba yenu mpya anaweza kuwa na Kama miaka mingapi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni,wanaowasimanga hapa hawajapitia mnayopitia. Duh mmetangishwa sana tangu utoton inaonekana maza hajatulia kabisaa. Hali hio muizoee tu

Kuna wamama/wababa hawashuriki,mapenzi ni upofu.
Jamaa aweke picha ya Mama na Ankali hapa tujaribu kusuluhisha.
 
"jambo linalotusumbua ni kuwa Mama yetu ana mwanaume mwingine ambaye ni mume wa mtu"

Hili Ndio tatizo haswa,maana sidhani kama mnatatizo laiti kama mama yenu angelikuwa ameolewa au anaishi na mwanaume mwingine ambaye si mume wa mtu,kwa umri wake kuwa mchepuko ni fedheha na ndio maana hata jamii inamshangaa na kumsema.

Lakini kwa kuwa mlishajaribu kuzungumza naye na hakukubaliana nanyi basi hamna budi kutafuta miji yenu na kiwa mbalinae maana ninyi ni vijana wakubwa.

Maana mnaoona aibu ni nyinyi yeye anajionea sawa tu,na ndio maana anfanya hata mbele yenu.
 
Naona waongee na uncle kwa kuwa kujiachia Ni Jambo huru ambalo hawapaswi kumuingilia lakini kwa Hali hii lazima waingilie maana mwanaume Ni mume wa mtu then anaweza akawaletea magonjwa mzigo ukabaki kwa watoto
 
Back
Top Bottom