Naombeni ushauri kuhusu mahusiano haya ya mama yangu na huyu mwanaume

Naombeni ushauri kuhusu mahusiano haya ya mama yangu na huyu mwanaume

Anatembea na Janamume la mtu akikatwa mapanga watoto wanamzika na wanakosa mama wakati yeye hata maumivu hana na macho amefumba chini ya udongo.
Anatembea na Janamume la mtu.. likimletea miwaya Ni watoto watamuuguza wakati yeye ametulia tuli kitandani Jaha neogo na kubwa zote halali yake... Hana shida anasubiri tuu kulishwa tena kwa kijiko mdomoni
Suala la miwaya angeweza kuletewa hata na hao baba za watoto wake, so halina mashiko,

Suala la mume wa mtu, hiyo apambane mwenyewe ni maisha ameyachagua mazee.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
 
Mkuu mla chake tajiri,sioni haja ya wewe kuingilia faragha ya mama yako,mama yuko kwake mwacheni ale vya kwake,huko kaburini hakuna Haya mambo unayoyaona huku uraiani,na maisha ya duniani ni mafupi sana kuliko ya kaburini,hebu fikiria mtu anaishi duniani 80+ yrs baada ya kufa unaishi huko kaburini about millions of years,sasa ni bora ajipe raha mwenyewe.

Pili Nadhani kwa umri wako wa 24+ yrs unatosha kabisa kwa wewe kujitehemea,pambana na maisha usipambane na mama yako,mwenzio sasa hivi yuko kwake nawe tafuta mji wako,hayo masheria unayotaka kuyaanzisha kwenye mji wa mwenzako kayaanzishe kwako na mke wako


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala la miwaya angeweza kuletewa hata na hao baba za watoto wake, so halina mashiko,

Suala la mume wa mtu, hiyo apambane mwenyewe ni maisha ameyachagua mazee.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Ngoja nikuache na ubishi wako sijui nikushambulie PM
Au Basi tuchart
 
Pia, kila tukimsuhi Mama kuacha hiyo tabia majibu anayotupa ni kuwa huu mji ni wake na hamna aliyemsaidia kujenga hivyo anafanya chochote atakacho.

Ndugu zangu wana JF, naombeni msaada wa mawazo namna ya kutatua tatizo hili.
[/QUOTE]
Miaka 52 mama yako bado kabisa yuko fiti msimpangie maisha yake. Kama mnaona mmekua hameni. Huyo mmoja ambaye baba yake yupo kwa nini asiende kwa babaye? Mnahitaji huduma toka kwa mama yenu ambazo zinatokana na pesa lakini mnaleta ujuaji. Huyo kaka yenu mkubwa anayekuja hapo kwa nini nyinyi wengine wawili msiende kukaa kwake?
Inawezeka na hela mnayokula ni ya huyo mwanaume msiyemtaka.
 
Naona waongee na uncle kwa kuwa kujiachia Ni Jambo huru ambalo hawapaswi kumuingilia lakini kwa Hali hii lazima waingilie maana mwanaume Ni mume wa mtu then anaweza akawaletea magonjwa mzigo ukabaki kwa watoto
Ni kweli, hilo jambo linamatokeo hasi kwa huyo mama na watoto kwa ujumla lakini tatizo huyo mama hajitambui.
 
Mama yenu hawezi kuishi bila mwanaume...
24+ muhame mkaishi kwenu, yupo hivyo miaka yote inaonekana tokea avunje sinia....mumuache mama afurahie mgegedo, vipi nyie??

Mnataka kugombea URITHI, baba wanne tofauti ni ishara mjitegemee...mtafute vyenu...hapo hamna chenu!

Everyday is Saturday.......................... 😎

Amesema wako chuo bado, ni vijana. Wanaohitaji matunzo na ushauri wa mzazi bado na kwa maisha ya Kitanzania hao wanachuo hawajaweza kujitegemea so option ya waondoke ni irrelevant, labda wavumilie tu !
 
Hizo njia mbadala ndo njia sahihi, hasa hiyo ya kutafuta wahuni! Ksbb akipokea kichapo habari zake zitafika kila kona hata kwa mkewe!
Na hata rudia tena kuja hapo vile hajui adui yake ni nani"
Achananeni na mama yenu, kila mtu akatafute maisha yake, nyinyi sasa ni wakubwa. Kila mtu atambae zake.
Hiyo aibu ya mama yenu kutombwa ovyo ovyo na wanaume ipelekeni kwa wajomba tu.

Kama njia hiyo mnaona ni ngumu basi mjaribu njia nyingine mbaya zaidi. Anzeni kupambana na huyo mwanaume. Mtafuteni mkewe, halafu mwambie aje kupachimbicha kwa mama yenu (kumbukeni dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake). Upande wa pili mtafute vijana wahuni watakaibuka na kumpa kichapo cha mbwa mwizi huyo mwanaume siku akitinga hapo home kwenu kwa mama yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ya Mama yenu ilianzia zamani Mkuu ,Kitendo cha kuzaa na wanaume tofauti wanne, kinamwelezea ni wa mama wanaina gan.

Nandio maana Hana hata mshipa wa aibu kiasi kwamba hata ktk huo uzee ambao amekoma hedhi bado anaendeleza tabia isofaa.


Kiukweli anawatia aibu sana sana, yaan anawatia aibu mnooo


WAZAZI NI LAZIMA WAWAHESHIMU WATOTO WAO, ILI WATOTO WAWAHESHIMU WAZAZI WAO( Ndivo Biblia inasema)

Mtoto hawezi kuwaheshimu wazazi ikiwa wazazi hawajiheshimu na hawawaheshimu wanao, ...ndio ni kwake, basi aende kuyafanya huko mbali nasio machoni kwenu


Je kwann huyo Baba mdogo wenu tena mume wa MTU hampeleki kwake.


Kwanza huyo Jamaa, usimuite Baba mdogo, iyo heshima Haimfai hata punje.. Mume wa watu hawezi kua baba mdogo kwa uchepukaji ,huyo ni muhuni kama walivyo wahuni wengine.




Nyinyi muheshimu Mama yenu kwakua kawazaa,, piga moyo konde , utoke hapo mumuache na Maisha yake aloyachagua.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Between the lines...kinacho kusumbua na nduguzo ni ninyi kugeuzwa agenda ya mtaa au jamii

Ktk familia yetu pia tuliwah kupitia jambo hili naelewa sana, ni maika 11 sasa imepita...nasi tumezaliwa 7 kwa Baba 3 na Mama pia ni mtumishi

Ktk kabila letu kunamsema nitatafsiri... "Anaye lala na Mama yako ndo Baba yako"

Chozi limenitoka wakati naandika haya[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo pole sana. Hebu mtafute mjombaako umshirikishe. Hata kama mjomba yuko upareni au ukerewe au Machame mfuate huko huko. Mjomba anaweza kum discipline bi mkubwa
Ukute mjomba nae anapenda hizo mambo
 
Pia, kila tukimsuhi Mama kuacha hiyo tabia majibu anayotupa ni kuwa huu mji ni wake na hamna aliyemsaidia kujenga hivyo anafanya chochote atakacho.

Ndugu zangu wana JF, naombeni msaada wa mawazo namna ya kutatua tatizo hili.
Miaka 52 mama yako bado kabisa yuko fiti msimpangie maisha yake. Kama mnaona mmekua hameni. Huyo mmoja ambaye baba yake yupo kwa nini asiende kwa babaye? Mnahitaji huduma toka kwa mama yenu ambazo zinatokana na pesa lakini mnaleta ujuaji. Huyo kaka yenu mkubwa anayekuja hapo kwa nini nyinyi wengine wawili msiende kukaa kwake?
Inawezeka na hela mnayokula ni ya huyo mwanaume msiyemtaka.[/QUOTE]mkuu hata mimi nakubaliana na ushauri wako wamuache mwanamke wa watu ajinafasi yeye co mtoto anajua anachofanya halafu kama ingelikuwa anabadilisha wanaume hapo nymbn kwa maana leo ukiamka unamkuta bakar kesho josef hilo ingekuwa tatizo lkn ameamua kutulia na huyo kubwa ni kumueshemu kama baba yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ya Mama yenu ilianzia zamani Mkuu ,Kitendo cha kuzaa na wanaume tofauti wanne, kinamwelezea ni wa mama wanaina gan.

Nandio maana Hana hata mshipa wa aibu kiasi kwamba hata ktk huo uzee ambao amekoma hedhi bado anaendeleza tabia isofaa.


Kiukweli anawatia aibu sana sana, yaan anawatia aibu mnooo


WAZAZI NI LAZIMA WAWAHESHIMU WATOTO WAO, ILI WATOTO WAWAHESHIMU WAZAZI WAO( Ndivo Biblia inasema)

Mtoto hawezi kuwaheshimu wazazi ikiwa wazazi hawajiheshimu na hawawaheshimu wanao, ...ndio ni kwake, basi aende kuyafanya huko mbali nasio machoni kwenu


Je kwann huyo Baba mdogo wenu tena mume wa MTU hampeleki kwake.


Kwanza huyo Jamaa, usimuite Baba mdogo, iyo heshima Haimfai hata punje.. Mume wa watu hawezi kua baba mdogo kwa uchepukaji ,huyo ni muhuni kama walivyo wahuni wengine.




Nyinyi muheshimu Mama yenu kwakua kawazaa,, piga moyo konde , utoke hapo mumuache na Maisha yake aloyachagua.



Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka Sasa Mama hajavunja Sheria yoyote ya nchi
 
Habari zenu,

Nimekuja na ID mpya ili kuficha utambulisho wangu wa awali ni kuomba msaada wa ushauri.

Naombeni ushauri na njia za kutatua tatizo hili.Ipo hivi kwenye tumbo la Mama yetu tulikuwa watoto 7 hadi Leo hii tupo 4. Katika watoto 7 tumezaliwa na Baba tofautitofauti 4. Katika hao baba zetu kuna moja wao ndio tumekuliwa kwake toka tukiwa wadogo badaye miaka 6 iliyopita Mama alitengana Nate.

Mama ni mtumishi wa umma, hivyo alinunua kiwanja na kujenga nyumba ambapo watoto wote 4 tuliongozana nae na kwenda kuishi nae, maana haikuwezekana kukaa tena kwa huyo baba mlezi sababu katika wathili.4 tuliobaki kati yetu 1 tu ndio mwanae kwahiyo ikabidi wote sisi sote tuongozane na mama. Ikumbuke kuwa katika sisi watoto 4, mtoto 1 hamjui baba yake wengine 2 Baba yao alifariki na mtoto 1 baba take ndio huyo aliyetulea.

Sisi sote miaka yetu ni 24+ na Mama yetu ni 52, jambo linalotusumbua ni kuwa Mama yetu ana mwanaume mwingine ambaye ni mume wa mtu. Jamaa huyu huwa anakuja na kulala hapa nyumbani karibu kila siku; huwa anasitisha kuja pale ambapo kaka yetu mkubwa akija nyumbani.

Ndugu na marafiki wamejaribu kumshauri mama kuwa tayari umri umekwenda na ana vijana wakubwa anatakiwa kuacha mambo hayo pasipo mafanikio, haelezeki wala haambiwi chochote. Kwa sasa tumefunga chuo sababu ya hii CORONA nipo hapa home naona aibu kijiji kizima kinatuzungumza.

Kaka yangu mkubwa alijaribu kuongea na huyo bwana mwaka jana; kwa kweli jamaa alisitisha kama miezi 2 hivi pasipo kuonekana, badaye ratiba ikaanza kama kawaida nimemjulisha kaka atafute siku 3 nyumbani tusaidiane kutatua tatizo hili. Pia, kila tukimsuhi Mama kuacha hiyo tabia majibu anayotupa ni kuwa huu mji ni wake na hamna aliyemsaidia kujenga hivyo anafanya chochote atakacho.

Ndugu zangu wana JF, naombeni msaada wa mawazo namna ya kutatua tatizo hili.
Kuna msemo mmoja huwa naupenda unasema "mama ga life tooo" mwache ale maisha
 
"jambo linalotusumbua ni kuwa Mama yetu ana mwanaume mwingine ambaye ni mume wa mtu"

Hili Ndio tatizo haswa,maana sidhani kama mnatatizo laiti kama mama yenu angelikuwa ameolewa au anaishi na mwanaume mwingine ambaye si mume wa mtu,kwa umri wake kuwa mchepuko ni fedheha na ndio maana hata jamii inamshangaa na kumsema.

Lakini kwa kuwa mlishajaribu kuzungumza naye na hakukubaliana nanyi basi hamna budi kutafuta miji yenu na kiwa mbalinae maana ninyi ni vijana wakubwa.

Maana mnaoona aibu ni nyinyi yeye anajionea sawa tu,na ndio maana anfanya hata mbele yenu.

Hekima ya kawaida, huwezi kumkanya mama kwa mambo hayo wewe kama mtoto yeye mwenyewe asipokuwa na kiasi, heshima na kustahi watototo wake.

Kwa umri wangu huu nimeshashuhudia watu 3 kwa matukio na familia tofauti Wakifikwa na vifo kwa sababu au waliwafumania mama zao kwa niaba ya baba zao.


What you can do is to indicate behavioural disconfort on what you see. I think that is enough.

Wewe unamtegemea mama yako, and I think for scholarly and any of your important social care, that is what your mother thinks to win you. And she really wins you.

Be calm, be diplomatic with much expressions of unhappy BUT never raise any concern direct to your mother

Mama yako ana conscious ya kutosha, ndio maana anapokuwepo kaka yenu that man stops coming for conjugal with your Mama. Kwa hiyo he consinders you minner, little boys and immature not enough to draw any line of restrictions for foolishly acts

What you can to is to plan act softly once that man Lands at your. Kwa mfano, akiingia jion you all move away without telling yor mom where you are going. You all depart from home till it is 2 or 3 days. Akiwauliza mlikuwa wapi unamwambia tulimpisha ba mdogo!!! That is an expression of disconfort, and your mother has to ponder And her mind will cycle her brain

Stay safe
 
pole mkuu, tatizo hili linawakumba wengi sana bt kikubwa nikukubaliana na hali mpaka mtakapokua tayari kujitegemea japo jambo hilo hushusha heshima sana hasa watoto wakiwa wakubwa

kuna mama jirani alikua akifanya hivo japo watoto hawakukubali, alichoamua akamuita mkubwa chumban kwake kama anashida nae then akamwambia amfanye sasa maana wanambana utadhani hana hisia ukweli ilikua aibu sana

tangu siku hiyo yule bwana aliacha tabia hiyo nakuamua kukeep busy na mishe zake
 
Nikiwa form three rafiki yangu Roja alimpiga baba yake kwa vile alikuwa na tabia ya kumpiga mama yake na michepuko ya aina mbalimbali. Dogo alichofanya alimuotea mzee kalewa akampiga ngumi za kutosha, hii ni baada ya kulalamika mbele ya wajomba na ndugu wa baba. Kilichotokea akaitwa ustawi wa jamii na akahamishwa shule kwa muda, tulimuona tena tukiwa form four karibia na Mock. Amani ilirudi nyumbani kwao kwa sababu moja tu, alimuhaibisha baba yake kwa kichapo.
Nimeshare kisa wala sijataka utumie armed struggle.
 
Umeelezea vyema historia ya mama ya kimahusiano sioni haja ya kumlaumu sababu iyo ndo haiba yake, muacheni afurahie maisha yake, kidogo ningelaumu endapo anabadili wanaume kile siku, ilo tendo ni haki ya msingi kabisa ya binadamu, trust me kama mkimlazimisha kuacha ayo mambo utakuja hapa kuomba ushauri juu ya tatizo kubwa linalomsumbua mama kama ulevi kupindukia ama kichaa, muacheni mama aishi maisha yake.
 
Kuna graduates humu hawana kazi lakini wanasisitiza atoke nyumbani na ashasema anasoma bado. Si rahisi hata kidogo.
Na hii corona itaua sana familia. Jana tu nimeona mmoja anabeba mabegi na watoto.
 
Acheni kufuatilia maisha ya mama yenu kama mmeshagundua hajielewi.Kuwa na mwanaume sio shida,shida ni kumleta huyo mwanaume ndani,na isitoshe ni mume wa mtu wakati akijua kuwa watoto wake wameshakuwa watu wazima,kwa mila zetu za kiafrika hayo ni matusi.Kama anaona anauhitaji wa mwanaume wakutanie huko mbali asilazimishe kwakuwa tu nyumba ni yake,vinginevyo awatafutie nyumba mkaishi mbali naye kwakuwa bado hamjaweza kujitegemea...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom