Naombeni ushauri kuhusu mpenzi wangu

Asante ndugu yangu dah
Ila mbona anaonesha dalili kama ananipenda hivi.

Na cha ajabu uo ufupi anao ni tukana yeye si mrefu kwangu sema kako kembamba mimi Nina mwili kidogo.

Hakufai, kwanza ulivosema kembamba nahisi kama bwawa.
 
Huko Canada unaishi wapi vijijini au?..maana ilibidi uwe na uwezo wa kupambanua mambo..au umelogwa?

Achana na hao watu mara moja..upo desperate sana.

Sema hii pia inaweza kuwa chai.
 
12,000 dollars? Seriously? Thread nzima hicho ndo nilichokiona
Hapa namimi akili inagoma. Ameanza kusomea Tz, hiyo inanipa picha kuwa hata wazazi wake walikuwa hapahapa Tz kabla hawajaondoka. Inamaanisha nao wanajua tamaduni za Tanzania.
Kwamba wazazi wakakubali kuna kabila linatoza mahari ya $15,000 (30 mill) hapahapa bongo???
Na je dogo ndiye alikuwa anapeleka mahari hiyo bila mshenga??? Je mshenga naye aliikubali hiyo mahari?
 
Kwa akili hizo bora utoke canada uje huku tandahimba
 

Mshenga or not hvi kuna mtu is willing to spend that kind of cash kwenye mahari ama kweli mapenzi upofu.... ngoja nitulie
 
Usinifanye nifungulie swaumu ya gu chai hiiiiiii hainyweki eboooo
 
Dah kak unafer Umeish Canada alaf bado unajipendekeza kwa manz wa ivo na mshahara wa lak 4 kila mwez unamlipa !!
Cha zaid alichonacho ni nin kinachokufany uwaze kuendelea kuwa nae coz umeandka upande wake wa ubaya tu labd ana kingne special ambach hujakiwek waz
 
Us doller 15000[emoji20][emoji20]?!,kutakuw na tatizo mahali...
 
Kama amekufanyia yote hayo naumeshindwa chakufanya achana nae
 
Umeshapata somo zuri, wala asikukondeshe! Mahari milioni 30 na ushei? Wewe kweli akili zako fupi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…