Naombeni ushauri kuhusu mpenzi wangu

Naombeni ushauri kuhusu mpenzi wangu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wafupi mna shida mahali...
JamiiForums-1240380184_480x586.jpg
 
Hahahahahahaha


Cha ajabu wanawake wanaoumizaga kichwa watoto wa kishua huku uswahili wakipita uwaga hata kugeuka kuwaangalia hatuwaangalii..

Unakuta kila mtaa watu wamepiga pumb*.
 
Wewe bado kijana mdogo sana... usikubali kuteswa na ukoo kisa mapenzi.

Ukirudiana nae ndugu zake hawatakukawiza (utazikwa)

Achana nae fanya mambo yako.. Utampata anae kufaa
 
Miaka 23 bado hujakomaa kama uliweza kumtoa na ukafanikiwa tulia kwanza usikimbilie maisha ya unyumba wewe bado sana,subiria atajitokeza atakae kua na upendo wa juu wakweli na wewe muda ukifika.
Huyo msahau hakuwa na hawezi kua na mapenzi na wewe na amejipanga kurudi ili aje akumalize ameshakujua udhaifu wako sasa anarudi ili aitumie kama fimbo ya kukuchapia mwenyewe
 
Back
Top Bottom