Naombeni ushauri kuhusu mpenzi wangu

Kitendo cha kusema demu ulikutana nae kweny mtandao kinatosha,aya ebu lete story nyngine vp hapo canada naweza pata hata mishe ya ubeba box?
 
Daah Kama siyo stori ya kutunga we jamaa ni bonge moja la fala au tayari usharogwa
 
Canada my foot! Hata passport huna nn Canada
 
Sijawahi kuandika kuwa uzi fulani ni chai, lakini huu ninaousoma hapa ni ile slimming tea kabisa...

Ukisoma na kuielewa hii mambo basi jiandae kupunguza mafuta mwilini...

Kwa hesabu ya chap ni kwamba jamaa kawekeza more than 50mil Tsh kwa mtu ambaye hata si mkewe bado na ni mtu ako kampata kwa facebook tu...

Damn, gimme a break!!!
 
Huu ni uongo 100%

Kwa herufi kubwa : HUU NI UONGO 100%
 
Unataka kuoa mahari unategemea wazazi?
 

aiseee noma sana, jamaa akimbie spidi sana hao ni wezi sana
 
Asante ndugu yangu dah
Ila mbona anaonesha dalili kama ananipenda hivi.

Na cha ajabu uo ufupi anao ni tukana yeye si mrefu kwangu sema kako kembamba mimi Nina mwili kidogo.

kapumbavu ako kadada mali milion 30 familia yao wanataka kukunyonya piga chini 2030 utakuja kunishukuru hapa
 
Philosophical vents...
A great mistake in life is believing a mistake fact to be a good one, put a path between being concise in your decision and being ignorant to face external fate...
_____________
Singo quotes
 
Kitu kimoja mkuu hujiamn kabisa.

Mambo kama haya wengine tuliyapitia wakati wa balehe hivi sasa sio rahisi mwanamke kukufanyia dharau hivo na unaendelea kuishi nae.
 
Sasa dharau zote hizi bado unajidanganya unapendwa?

Huyo demu anakuja kwako KWA Sababu ya pesa tu ila hakupendi Hata kidogo.

Ukimuoa utakua umechagua kuishi KWA majonzi maisha YAKO YOTE.

Ukimkubalia tu ndo hapo moyo wake unafunguka kutaka mahitaji mengine kama mwAnaume mrefu na siajabu hela ulizokua unamtumia alikua anahonga wanaume warefu.

Kua mwAnaume acha uvulana mbususu zipo tu
 
Milioni 34 kununua nyumba Dar?? Pagale au? Inafikirisha! Mahali ya milioni 30 na ushee ndio naisikia kwanza leo (USD 15,000.00 x Tsh. 2,100.00)!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…