Naombeni ushauri kuhusu nyumba yangu niliyoijenga Maramba Mawili

Naombeni ushauri kuhusu nyumba yangu niliyoijenga Maramba Mawili

Sio mimi sis ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Pesa ya plot vikunai naitoa wapi??

Lazima nimuunganishe na mimi anifikirie kwenye upande wa Zaba na Bucci mtu wa maana kabisaa.!! ๐Ÿคฃ
Unaogopa tutakupiga vizinga dogo๐Ÿ˜.
Hela za zaba unapeleka wapi had ushindwe kujenga Vikunai๐Ÿ˜

Kabisa.Hela inakua inazunguka humo humo
 
Unaogopa tutakupiga vizinga dogo๐Ÿ˜.
Hela za zaba unapeleka wapi had ushindwe kujenga Vikunai๐Ÿ˜

Kabisa.Hela inakua inazunguka humo humo
Sis bana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Pesa za Zaba bado nadunduliza, siku nikipata bahati ya kumiliki plot kijichi km wewe ntaruka ruka.!! ๐Ÿ˜‚

Pesa inaingia kwenye mzunguko.!
 
Sis bana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Pesa za Zaba bado nadunduliza, siku nikipata bahati ya kumiliki plot kijichi km wewe ntaruka ruka.!! ๐Ÿ˜‚

Pesa inaingia kwenye mzunguko.!
Wewe mtoto usitake niseme mengi๐Ÿ˜.
Acha masihara ๐Ÿ˜„
 
Wewe mtoto usitake niseme mengi๐Ÿ˜.
Acha masihara ๐Ÿ˜„
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kweli sis
Nifanyie mpango na mimi niishi kitajiri km wewe.!!
Natamani sana kuishi kijichi au vikunai
Naona wakinga zangu wameporomosha maghorofa kijichi mpk sio pouwa.!!
Ile Line ya Mara hospital nilibaki nakodoa macho pesa zinaongea.!!
 
Hi JF.

Ndugu zangu naomba mawazo yenu.

Ni hivi, kuna nyumba iko hapo Mbezi Maramba mawili naona kama nilipoteza muda na hela zangu bure coz haina faida yeyote kwangu tokea nimeijenga.

Ilipokamilika nilimpa uncle wangu na wife wake wakae. Baada ya miaka 3 ndugu akajiongoza akaenda panga 2 rooms then akaleta mpangaji kwa 200K kwa mwezi. Ikawa ile kodi anatumia kulipia zile 2 rooms inayobaki anatumia.

Ikaenda hivyo for two years nikiwa sijui kitu coz baada ya kuwakabidhi sikuwahi tena kwenda huko hadi siku jirani mmoja kunipigia akilalamika kuhusu wapangaji wangu.Nikashangaa ikabidi niende kwa lengo lakuwatimua hao waliopangishwa bila idhini yangu.

Kufika Maramba, nilijicheka kumebadilika, kumejengwa hata njia ya kufika kwangu nimeisahau๐Ÿ˜๐Ÿ˜ ila nilifika nikakuta nyumba imechoka baadhi ya vioo vimevunjwa, vitasa hakuna, rangi ndo usiseme ila wapangaji walinipokea vizuri na walikua watu wastaarabu sana.

Nikajitambulisha na wakashangaa coz kwa 2 yrs wanajua ndugu yangu ndo mama mwenye nyumba wao wakaanza kulalamika kutapeliwa.

Nikawaambia hakijaharibika kitu endeleeni kukaa ila nikawaomba wanipe 300k kwa mwezi sababu nyumba imechoka coz 200K ni ndogo sana.

Hiyo 300K kwa mwezi walilipa miezi 6 tu then Covid 19 ikaja wakaomba 200k coz Covid imempozea baba kazi, nikakubali nikiwa naplan nikaikarabati then niweke mpangaji atakayenipa hela yakuridhika.

Cha ajabu nina hiyo plan tokea enzi za Covid ila kila nikifikiria kwenda Maramba kufanya huo mchakato naona uvivu na mind you marekebisho makubwa hapo ni rangi tu na toka nilipoenda kujitambulisha sijarudi tena Maramba so mpaka leo wananipa 200K kwa mwezi ila nahisi ni ndogo sana.

Ninawaza niiuze hiyo nyumba then nikajenge kwenye moja ya plots zangu zilizoko Mtoni Kijichi.Kijichi kuna kodi nzuri.

Au niikarabati then niongeze kodi ila hapa nashindwa kuamua coz sijui soko la nyumba za kupanga likoje hapo Maramba Mawili.

So majirani zangu wa Maramba Mawili hebu niambieni eti kajumba ka 3 bedrooms,big living room,dinning,jiko,choo cha master na public,alluminium window,tiles,umeme ikiwa kwenye hali nzuri halali yake kwa mwezi ni bei gani kupangisha kwa sasa?Enzi hizo kabla wakati nampatia uncle wangu alipatikana mpangaji wa 350K kwa mwezi kwa kila miezi 4.

Na je nikisema niuze nitapata kiasi gani eti majirani zangu wapendwa(Kwa kukadiria)

Natanguliza shukrani zangu Majirani zangu wapendwa.Sisi ni ndugu tusaidiane๐Ÿ™๐Ÿ™
Kwa malamba hiyo kodi ya 200k ni kubwa sana.
Nyumb nyingi ni 150 to 180 kwa mwezi na ni self hizo..
 
Kuna sehemu niliona anatia huruma kuomba connection ys ya ajira nikatamani ningekua na uwezo nimfanyie wepesi.Imagine ningekua na huo uwezo hlf unaingia cha kike kumsaidia mtu kama huyu.
Mimi naomba niwe estate manager wako. Naona uko busy unahitaji mtu wa kusimamia estate zako.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kweli sis
Nifanyie mpango na mimi niishi kitajiri km wewe.!!
Natamani sana kuishi kijichi au vikunai
Naona wakinga zangu wameporomosha maghorofa kijichi mpk sio pouwa.!!
Ile Line ya Mara hospital nilibaki nakodoa macho pesa zinaongea.!!
Kukufanyia mpango hiyo usijali ila utajiri sina tuna survive kwa neema tu mdogo wangu๐Ÿ™

Kwa kweli Kijichi ni ushuani.Kuna matajiri wana sifa hasa enzi za Kikwete.Tulioneshwa jeuri ya pesa.
 
Kukufanyia mpango hiyo usijali ila utajiri sina tuna survive kwa neema tu mdogo wangu๐Ÿ™

Kwa kweli Kijichi ni ushuani.Kuna matajiri wana sifa hasa enzi za Kikwete.Tulioneshwa jeuri ya pesa.
Oyooo ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜
Raha yโ€™a kuwa na dada tajiri ndio hii.!
Kijichi pazuri sana, kumetulia.!
Halafu barabara za mitaa ziko vizuri, nikinunua plot huko cha kwanza nizungushe fence nipande maua na miti.!!
Niliona pale garden wana maua mazuri.! ๐Ÿ˜
 
Bola we una nyumba
Ni kweli ninazo kadhaa pamoja na majengo ya biashara ila trust me kujenga ni rahisi MNOOO kuliko wengi wanavyodhani.Siri ni kujinyima tu na kusimama kwenye malengo.Umeongea kama mtu alokata tamaa but cheer up inawezekana rafiki.
.
 
Oyooo ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜
Raha yโ€™a kuwa na dada tajiri ndio hii.!
Kijichi pazuri sana, kumetulia.!
Halafu barabara za mitaa ziko vizuri, nikinunua plot huko cha kwanza nizungushe fence nipande maua na miti.!!
Niliona pale garden wana maua mazuri.! ๐Ÿ˜
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Sitakukataza kuniita tajiri coz maneno huumba.๐Ÿ˜„One day yes.

Kwenye maua shamba girl wako niko hapa.Napenda balaaEnzi nasoma nilikua naiba maua keenye nyumba za watu napanda bustani yangu ya home๐Ÿ˜„.Huwa na design garden zangu mwenyewe.

NB:Wewe tyr uko kijichi!๐Ÿ˜„๐Ÿƒ
 
Kiwanja cha Kijichi. Kama hakijapimwa fosi kipimwe. Nenda Benki mfano NMB nenda na ramani na makadirio ya Ujenzi, waombe mkopo wa ujenzi, utapewa duration ya rejesho na kiasi cha rejesho.
Ukibana huo mkopo unaweza kujenga na kukarabati nyumba ya maramba.
Ukianza kuchukua Kodi uta peleka marejesho kupitia Kodi za hizo nyumba 2. Baada ya miaka kadhaa utakua umemaliza. Unachukua Kodi kote kote
 
Back
Top Bottom