Naombeni ushauri kuhusu nyumba yangu niliyoijenga Maramba Mawili

Sio mimi sis πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Pesa ya plot vikunai naitoa wapi??

Lazima nimuunganishe na mimi anifikirie kwenye upande wa Zaba na Bucci mtu wa maana kabisaa.!! 🀣
Unaogopa tutakupiga vizinga dogo😁.
Hela za zaba unapeleka wapi had ushindwe kujenga Vikunai😁

Kabisa.Hela inakua inazunguka humo humo
 
Unaogopa tutakupiga vizinga dogo😁.
Hela za zaba unapeleka wapi had ushindwe kujenga Vikunai😁

Kabisa.Hela inakua inazunguka humo humo
Sis bana πŸ˜‚πŸ˜‚
Pesa za Zaba bado nadunduliza, siku nikipata bahati ya kumiliki plot kijichi km wewe ntaruka ruka.!! πŸ˜‚

Pesa inaingia kwenye mzunguko.!
 
Sis bana πŸ˜‚πŸ˜‚
Pesa za Zaba bado nadunduliza, siku nikipata bahati ya kumiliki plot kijichi km wewe ntaruka ruka.!! πŸ˜‚

Pesa inaingia kwenye mzunguko.!
Wewe mtoto usitake niseme mengi😁.
Acha masihara πŸ˜„
 
Wewe mtoto usitake niseme mengi😁.
Acha masihara πŸ˜„
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kweli sis
Nifanyie mpango na mimi niishi kitajiri km wewe.!!
Natamani sana kuishi kijichi au vikunai
Naona wakinga zangu wameporomosha maghorofa kijichi mpk sio pouwa.!!
Ile Line ya Mara hospital nilibaki nakodoa macho pesa zinaongea.!!
 
Kwa malamba hiyo kodi ya 200k ni kubwa sana.
Nyumb nyingi ni 150 to 180 kwa mwezi na ni self hizo..
 
Kuna sehemu niliona anatia huruma kuomba connection ys ya ajira nikatamani ningekua na uwezo nimfanyie wepesi.Imagine ningekua na huo uwezo hlf unaingia cha kike kumsaidia mtu kama huyu.
Mimi naomba niwe estate manager wako. Naona uko busy unahitaji mtu wa kusimamia estate zako.
 
Kukufanyia mpango hiyo usijali ila utajiri sina tuna survive kwa neema tu mdogo wanguπŸ™

Kwa kweli Kijichi ni ushuani.Kuna matajiri wana sifa hasa enzi za Kikwete.Tulioneshwa jeuri ya pesa.
 
Kukufanyia mpango hiyo usijali ila utajiri sina tuna survive kwa neema tu mdogo wanguπŸ™

Kwa kweli Kijichi ni ushuani.Kuna matajiri wana sifa hasa enzi za Kikwete.Tulioneshwa jeuri ya pesa.
Oyooo 😘😘😘
Raha y’a kuwa na dada tajiri ndio hii.!
Kijichi pazuri sana, kumetulia.!
Halafu barabara za mitaa ziko vizuri, nikinunua plot huko cha kwanza nizungushe fence nipande maua na miti.!!
Niliona pale garden wana maua mazuri.! 😍
 
Bola we una nyumba
Ni kweli ninazo kadhaa pamoja na majengo ya biashara ila trust me kujenga ni rahisi MNOOO kuliko wengi wanavyodhani.Siri ni kujinyima tu na kusimama kwenye malengo.Umeongea kama mtu alokata tamaa but cheer up inawezekana rafiki.
.
 
😍😍😍

Sitakukataza kuniita tajiri coz maneno huumba.πŸ˜„One day yes.

Kwenye maua shamba girl wako niko hapa.Napenda balaaEnzi nasoma nilikua naiba maua keenye nyumba za watu napanda bustani yangu ya homeπŸ˜„.Huwa na design garden zangu mwenyewe.

NB:Wewe tyr uko kijichi!πŸ˜„πŸƒ
 
Kiwanja cha Kijichi. Kama hakijapimwa fosi kipimwe. Nenda Benki mfano NMB nenda na ramani na makadirio ya Ujenzi, waombe mkopo wa ujenzi, utapewa duration ya rejesho na kiasi cha rejesho.
Ukibana huo mkopo unaweza kujenga na kukarabati nyumba ya maramba.
Ukianza kuchukua Kodi uta peleka marejesho kupitia Kodi za hizo nyumba 2. Baada ya miaka kadhaa utakua umemaliza. Unachukua Kodi kote kote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…