Naombeni ushauri kuhusu nyumba yangu niliyoijenga Maramba Mawili

😍😍😍 dada tajiriii

Kijichi which? Where?
Niishi kijichi nitambe? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wacha niendelee kudunduliza visenti nije nitafute plot walau nisife bila kuishi ushuani.!
Hapo kwenye maua ndo penyewe lazima uje ufanye jambo.!!
 
Barikiwa kwa ushauri huu mkuuπŸ™
Kijichi kumepimwa tayari sema naogopa sana mkopo.Sijawahi kopa bank toka nizaliwe.Mimi ni mfanyabiashara na kuna wkt biashara zinayumba sanaa then najiuliza hivi hapa ningekua na marejesho ningefanyaje?Pia naona vile mikopo inafilisi watu hivyo mimi huwa najenga kwq kudunduliza na kujibana na visent vyangu ninavyoingiza.
 
Barikiwa kwa ushauri huu mkuuπŸ™
Kijichi kumepimwa tayari sema naogopa sana mkopo.Sijawahi kopa bank toka nizaliwe.Mimi ni mfanyabiashara na kuna wkz biashara zinayumba sanaa then najiuliza hivi hapa ningekua na marejesho ningefanyaje?Pia naona vile mikopo inafilisi watu hivyo mimi huwa najenga kwq kudunduliza na kujibana na visent vyangu ninavyoingizs
 
Hutaki tuje kuomba chumvi dogo😁😁
Honestly,kwenye maua labda tu usipende taste yangu ila ni kitu nafanya kwa raha sana.Nybani kwangu maua yana hadi majina kama pets 😁😁
 
Hutaki tuje kuomba chumvi dogo😁😁
Honestly,kwenye maua labda tu usipende taste yangu ila ni kitu nafanya kwa raha sana.Nybani kwangu maua yana hadi majina kama pets 😁😁
Dada chumvi uje kuomba bonyokwa, wewe wa kishua life la huku utaliweza? 🀣🀣🀣

Hiyo y’a maua imeisha ntakusumbua mbona, kitu kimenishinda kufuga paka au mbwa wale wa kucheza nao ndani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nna mbwa wanafunguliwa night kwa kazi y’a ulinzi, wakifunguliwa mchana basi kwaajili y’a kuogeshwa.!!
 
Wewe ni kabishi hapo tutakeshaπŸ˜€

Napenda paka ila awe nje tu mambo ya ndani naona kero.Tatizo paka wangu anadeka,ukijilaza sehemu utashtukia tu kakupandia kakulalia na kujimassage miguun hata ukiwa unatembea anakuja half ukimkanyaga bahati mbaya anavyolalamika.Kuna saa Nikiwa na stress nataman nikatupie huko nje πŸ˜€
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nasema ukweli sis

Paka sijawahi kuwaelewa atleast mbwa, hawa mbwa nikiwa narudi labda usiku halafu nikizikuta zimefunguliwa zinanifanyia fujo km una wigi lote litavuliwa 🀣🀣🀣
Kuna siku nilimzaba mmoja akawa anaogopa, anajua wig halitakiwi kuguswa.!! 🀣
 
Wenzio wanafurahi kukuona hapo.
Mbwa wanajifunza haraka kuliko hata baadhi yetu binadamu.πŸ˜€Hao wako nahisi ni german sherpherd,wana akili sana hatarudia tena hilo kosa
 
Ila yanqvyokuwaga makali hujaogopa kumzaba kofi?
 
Wenzio wanafurahi kukuona hapo.
Mbwa wanajifunza haraka kuliko hata baadhi yetu binadamu.πŸ˜€Hao wako nahisi ni german sherpherd,wana akili sana hatarudia tena hilo kosa
Furaha y’a kuvuana mawig πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hao G sherpherd, moja linaitwa Jailash likali mwingine black Panther.
Hao km sio mwenyeji ukikutana nao utajua hujui 🀣🀣🀣
 
Furaha y’a kuvuana mawig πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hao G sherpherd, moja linaitwa Jailash likali mwingine black Panther.
Hao km sio mwenyeji ukikutana nao utajua hujui 🀣🀣🀣
Walijua utafurahia masikiniπŸ˜ƒ

Hao nawajua vizuri sana.
Sura zao tu unajua leo ndio leoπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…