Ni mtoto, ujue vijana wa siku hizi akili zao kuzitambua ni changamoto, mtu anayejitambua hawezi andika maneno yasiyostaha kama haya,huku tunakuita ni kutojitambua.
Nilienda j3 kujisalimisha kituo cha polisi na wife kumbe alikuwa kapangwa na ndugu ili kunikomoa ili wanifunge,lakn nilimbembeleza kwa muda mrefu afute lile shauri na bdae akalifuta na akasepa kwenda kwao akidai hawez rud home kwan anaona aibu kwa kumshtaki mme bas nikamrarua kapuchi yake na kumtakia maisha mema.Nitaendelea kesho muda huu nipo kuichabanga papuchi hapa.AHSANTENI KWA USHAURI WENU
Kuna mtu nilimhisi kwa hiyo nick name lakini kwa uandishi huo nimemtoa,ila mpaka utumie hiyo nick name lazima nakufahamu,lakini jirekebishe wewe then think again kuhusu huyo wife.
Mbona mnamuhukumu dada wa watu? Mnaogopa nini kumwambia ukweli jamaa? Jamaa amefeli kumpiga mkewe, tena inaonekana amempiga sana kiasi cha hadi kuuguzwa na wazazi....
Kisa cha kuambiwa huna mke na wewe unakubali ni nini sasa! Kwani magomvi hayatokeagi na watu wakafikishana mbali na wakarudi wakasameheana tena! Mbona we ulimpiga kiasi cha kwenda kutibiwa na kwao? Na yeye akiambiwa hana mume hapo je?
Nilienda Jumatatu kujisalimisha kituo cha polisi na wife kumbe alikuwa kapangwa na ndugu ili kunikomoa ili wanifunge.
Lakini nilimbembeleza kwa muda mrefu afute lile shauri na badaye akalifuta na akasepa kwenda kwao akidai hawezi kurudi Nyumbani kwani anaona aibu kwa kumshitaki mume.
Siku chache zilizopita tuligombana na wife wote tuliumia, lakini baadaye akaenda police kunishtaki kuwa nimempiga na jalada lipo Polisi. Naombeni ushauri kukiepuka kikombe hiki. Baada ya kugombana Mimi ndo nilimtibu na baadae wazazi wangu wakaja kumchukua ili atulie kidogo lakini akatoroka hom...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.