Naombeni Ushauri: Mke amenishtaki kuwa nimempiga

Naombeni Ushauri: Mke amenishtaki kuwa nimempiga

Kesi ikiisha Fanya mpango wa mke mungine huyo hana sifa ya kuwa mkeo.
 
Siku chache zilizopita tuligombana na wife wote tuliumia, lakini badae akaenda police kunishtaki kuwa nimempiga na jalada lipo police, naombeni ushauri kukiepuka kikombe hiki.

Una miaka mingapi? Watoto huwa hawaowi! Yani unaomba ushauri hata sababu hiyo?

Hapo watafaidika tu Police (Lazima hela itatoka) ila Hakuna issue ya kuhangaika hapo, muweke sawa mwana Misumbwi Mwenzako!

Na mnapiganaje na mke jaman?
 
We nenda kalale lock up then hiyo ndio iwe ticket ya kumuacha huyo mwanamke.
 
Tuanzie hapa

"tuligombana na wife wote tuliumia, lakini badae akaenda polisi"

Hili nneo tuligombana na wote tuliumia...mliumia kivipi
Moyoni au mmepigana mapanga ...ngumi au vijembe?
Nilipigwa na ubao kichwani nikiwa nimetulia nachat nilishonwa
 
yani unapiga mkeo mpaka anaenda kuuguzwa wewe kweli ms.enge
Tatizo hujaelewa, Mimi ndo niliumia zaidi lakini kwakuwa nayeye nilimpa tuvibao kidogo nikaona ili kumjali nikampeleka hospitali na huko akapewa dawa za kutuliza maumivu tu,
 
no matter what huwezi sema unapiga mke kiasi kwamba anaenda kuuguzwa kwao huo ni upumbavu.
Ilikuwa Ni namna ya kumuondoa kwa kuwa walikuwa hawana hakika amani imekaaje so wakatumia kigezo kuwa tukamuuguze ndugu,Nilikuwa tu namuonesha kuwa Mimi Ni mume kwa jinsi nilivo ningempiga yule angekifa
 
Siku chache zilizopita tuligombana na wife wote tuliumia, lakini badae akaenda police kunishtaki kuwa nimempiga na jalada lipo police, naombeni ushauri kukiepuka kikombe hiki.
Kwa hiyo ulimpiga Kweli lkn wote mliumia?!!. Halafu unaumizwaje na mwanamke?.
 
Ndio japo mwera wananitafta nimewaambia nimesafiri ili niende j3 naogopa wakinidaka leo Hadi j3 sero no hatari na nasikia katembeza pesa hapo kituo Cha police
Kikubwa hauwezi kufungwa, kama kesi itaenda mahakamani utahukumiwa kulipa fain... Mlipe na mpe talaka yake! Hapo hauna mke mkuu
 
Ni aibu sana kwa MWANAUME timamu kumpiga mwanamke makonde kiasi cha kwenda kuuguzwa na kama haitoshi hadi akakushtaki police aseee.

Akikuudhi mtatafutie siku jipange vilivyo mbembeleze weeee alainike haswaaaa alowane vizuuuriiii kule kwa down kisha mtandike kwa ukuni kiasi ambacho akitoka hapo ni mwendo wa shikamoo baaba, kisha mambo yanakaa sawa sawa.

Kuna kila dalili mkeo amekuchoka
 
[emoji23][emoji1787][emoji1787]hata mimi ningeenda unampigaje mkeo ?
Sisi tu ndio tunaruhusiwa kuwapiga maana sisi ninusu sasa utajiju mhongee na umuache kumpiga atafuta hiyo kesi.
Au mtishie asipofuta hiyo kesi unakunywa sumu ya panya naunanunua kwel unamuonyesha halafu unanunua andrew livesalt zile za kupunguza gesi kuwa makini .
Ukisha mwonyesha za panya unazitupa asione ila zile unaweka kwenye glasi unakunywa halafu unakunywa piriton .
Ukimaliza siutalala usingizi ataanza kuhangaika akizani kweli.
Au ukishakunya ile usimeze maji yote changanya kidogo na sabuni ya unga halafu ukitema hayo maji yanatoa mapovu.
Ume andika Pumba
 
Back
Top Bottom