mwelyaaa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 260
- 251
Andaa utetezi wa hoja makini na ukishindwa usihofu tupo jopo la mawakili nguli mjin hapa tutakata rufaa tu...Siku chache zilizopita tuligombana na wife wote tuliumia, lakini baadaye akaenda police kunishtaki kuwa nimempiga na jalada lipo Polisi.
Naombeni ushauri kukiepuka kikombe hiki.
UTASHINDA