Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Nikisoma matukio ya vipigo kwa wanandoa ama wapenzi nakumbuka mengi Sana, wanaume mnakosea sana kupiga wanawake zenu, akikushindwa muache tu, Kila mtu anayo namna ya kumaliza hasira yake nae huyo mkeo kukupeleka polisi ndivyo namna yake ya kukuadhibu, nenda tu Tena itakuwa vyema ukae mahabusu hata siku 4,
Saiv kila wiki ni habari ya mwanamke anauawa kwa kipigo hebu oneni aibu kah
Saiv kila wiki ni habari ya mwanamke anauawa kwa kipigo hebu oneni aibu kah