Naombeni Ushauri: Mke amenishtaki kuwa nimempiga

Naombeni Ushauri: Mke amenishtaki kuwa nimempiga

Mleta mada atuambie ni kabila gani. Wakurya wanatumia silaha yoyote iliyo mbele yake. Nshaishi na jirani wakurya aiseee ugomvi wao mkubwa sana na haipiti wiki hawajapigana sio kugombana kwa maneno ni ngumi,visu,mwichi,zinarushwa chupa hatari
Ugomvi kama huo ukienda kuamulia ni bonge ya risk unatakiwa angalau uvae vest kwa ajili ya kuzuia sharps object kama visu, na helment kwa ajili ya usalama wa kichwa
 
Mwali, hakuna unalo lijua kuhusu ndoa. Na nikisoma maandishi yako sawasawa naona you're too concerned kuhusu mwanaume kumpiga mwanamke.
Anyway, kwauzoefu wangu mimi hapo jamaa hana kesi na hakuna litakalo fanyika zaidi ya kutishiwa na kupata usumbufu wa kipolisi.
Pengine tu nijueleze kwamba hakuna polisi inayoweza kutatua matatizo ya ndoa, ndio sababu waliamua kuanzisha Dawati ili wajikite kwenye usuluhishi zaidi kwenye migogoro ya ndoa
15 yrs kwenye ndoa bado sina experience? Natakiwa kufikisha miaka mingapi?
Kama ulivyosema dawati la jinsia kazi yake ni kujaribu kutatua migogoro basi tambua kwamba watu wataendelea kupelekana huko ikibidi. Na si lazima dawati la jinsia liweze kutatua .
Kutishiwa na usumbufu wa polisi ni dhumuni mojawapo la mke kumpeleka mume huko.
 
Hongera sana mwali, maana namuhurumia huyo mumeo kuvumilia kuishi 15 good years kwenye tanuru la hapo Baghdad...😂
 
Hongera sana mwali, maana namuhurumia huyo mumeo kuvumilia kuishi 15 good years kwenye tanuru la hapo Baghdad...😂
Hiyo tanuru kwake ni pepo ya duniani, na hana ubavu wa kuniacha
 
Hiyo tanuru kwake ni pepo ya duniani, na hana ubavu wa kuniacha
Nikweli mwali, kwa miaka 15 bilashaka ameamua kuwa mvumilivu tu ili abaki anaendelea kupumua...🤓
 
Siku hizi ndoa ni muunganiko wa watu wawili wenye tamaa zao,unakuta mmoja ana hamu ya harusi sio ndoa,kuvaa shela,kupata zawadi,kuonekana kaoa au kuolewa,kuvaa pete, kukimbia maneno/masimango ya ndugu jamaa na marafiki. etc hivyo upendo hapo unadumu mwezi tu baada ya hapo waanza kuishi kwa mazoea
umejuaje chief tena hilo la harusi wanawake wanapenda kweli
 
Siku mke akinipeleka polisi Kwa ugomvi wa ndani hiyo ndoa itabaki historia
Dahhhh....
Wananume wote tungekua na misimamo ya aina hii, kabisa ndoa zingedumu sana kwenye ubora wake.
 
no matter what huwezi sema unapiga mke kiasi kwamba anaenda kuuguzwa kwao huo ni upumbavu.
 
Back
Top Bottom