Naombeni Ushauri: Mke amenishtaki kuwa nimempiga

Naombeni Ushauri: Mke amenishtaki kuwa nimempiga

Siku chache zilizopita tuligombana na wife wote tuliumia, lakini badae akaenda police kunishtaki kuwa nimempiga na jalada lipo police, Naombeni ushauri kukiepuka kikombe hiki.
Yataisha usijali ila mpaka kufikia kukupeleka polisi basi kuna shida mahali hasa upande wako
 
Sawa ishia hapo. Ila wenzako watapelekwa polisi
Wenzangu akina nani mwali..!

Huyo mwanamke ni wale wanawake wapumbavu kama wa Mithali 9:13
Hakuna ndoa ama mahusiano yalio wahi kua na mashtaka polisi hata kufikia mahakamani, na haya tumepata uzowefu kwenye kesi kama hizi hadi ikasababisha kuzaliwa kwa DAWATI la JINSIA.

Uzowefu unasema hivi...... Wanawake wengi hukubali kushawishiwa na ndugu zao kwasababu wakati ule wanakua wenye jazba. Lakini wanawake haohao hujutia kukubali ushawishi mara tu wanapo kumbuka na kurudia misimamo ya hisia zao.
My dear sweetheart, Dawati lilianzishwa baada ya kesi za aina hii kua nyingi
 
Kisa cha kuambiwa huna mke na wewe unakubali ni nini sasa! Kwani magomvi hayatokeagi na watu wakafikishana mbali na wakarudi wakasameheana tena! Mbona we ulimpiga kiasi cha kwenda kutibiwa na kwao? Na yeye akiambiwa hana mume hapo je?
Hata kama angepigika kiasi cha kutotembea asingethubutu kumpeleka mume wake police, kikubwa jamaa asolve tu hiyo issue ikiisha bas amrudishe kwao kwanza akili ikamkae sawa, ogopa sana mtu anaekupeleka police huyo anaweza kukuua kwa namna yoyote ile.
 
Kati ya watu wagumu kushaurika ni wanandoa leo utashauriwa kesho utapatana na mkeo na kuwaona washauri wachonganishi
Upo sahihi mkuu, na hii iliwai nisababisha nikasema kwamba mimi (personally) haitokaa nikaomba ushauri kwa yeyote kuhusu ndoa yangu sababu wakati mwingine tunajijuta hata tunao waomba ushauri wana issues nzito zaidi kuliko hata zakwetu. Anyway.....
\
Police iliamua kuanzisha Dawati baada ya kubaini mambo kama hizi
 
Baada ya kugombana Mimi ndo nilimtibu na baadae wazazi wangu wakaja kumchukua ili atulie kidogo lakini akatoroka hom na kwenda kwao ndo karudi kisirisiri kukisanua,alitaka kunipoga shoka ndipo nikamtime nakumlaza kwa mtama
Hahahaha nimekua nikiangalia movies za napigano ya hatari lakini sijawahi kuona matumizi ya shoka kwenye ugomvi hususani mwanamke

Hongera kwa kuoa ninja
 
Wenzangu akina nani mwali..!!
Huyo mwanamke ni wale wanawake wapumbavu kama wa Mithali 9:13
Hakuna ndoa ama mahusiano yalio wahi kua na mashtaka polisi hata kufikia mahakamani, na haya tumepata uzowefu kwenye kesi kama hizi hadi ikasababisha kuzaliwa kwa DAWATI la JINSIA.
Uzowefu unasema hivi...... Wanawake wengi hukubali kushawishiwa na ndugu zao kwasababu wakati ule wanakua wenye jazba. Lakini wanawake haohao hujutia kukubali ushawishi mara tu wanapo kumbuka na kurudia misimamo ya hisia zao.
My dear sweetheart, Dawati lilianzishwa baada ya kesi za aina hii kua nyingi
Hata biblia isemeje lakini Kama ni kupelekwa watapelekwa na wengi wanapelekwa, hata wakijutia lakini tayari wamewapeleka, na si wote wanaojutia.
 
Ndoa( mwanaume na mwanamke)ni muunganiko wa watu wawili waliopendana na kuamua kuishi pamoja.......ili muunganiko huo udumu kwa furaha amani na upendo zinahitajika jitihada za kila mmoja wenu.......inapotokea jitihada za kupigania hilo zinaamia upande mmoja hapo ndipo linapoanzia anguko la muunganiko huo.......baada ya mmoja kuchoka kuubeba huo mzigo........

Ugomvi wa wanandoa ukishaanza kutoka nje ni dalili kuwa hiyo ndoa imekosa nguzo muhimu ya maelewano na ndio mwanzo wa anguko la ndoa hiyo......
 
Mleta mada atuambie ni kabila gani. Wakurya wanatumia silaha yoyote iliyo mbele yake. Nshaishi na jirani wakurya aiseee ugomvi wao mkubwa sana na haipiti wiki hawajapigana sio kugombana kwa maneno ni ngumi,visu,mwichi,zinarushwa chupa hatari
hahahaha nimekua nikiangalia movies za napigano ya hatari lakini sijawahi kuona matumizi ya shoka kwenye ugomvi hususani mwanamke

Hongera kwa kuoa ninja
 
Siku hizi ndoa ni muunganiko wa watu wawili wenye tamaa zao,unakuta mmoja ana hamu ya harusi sio ndoa,kuvaa shela,kupata zawadi,kuonekana kaoa au kuolewa,kuvaa pete, kukimbia maneno/masimango ya ndugu jamaa na marafiki. etc hivyo upendo hapo unadumu mwezi tu baada ya hapo waanza kuishi kwa mazoea
Ndoa( mwanaume na mwanamke)ni muunganiko wa watu wawili waliopendana na kuamua kuishi pamoja.......ili muunganiko huo udumu kwa furaha amani na upendo zinahitajika jitihada za kila mmoja wenu.......inapotokea jitihada za kupigania hilo zinaamia upande mmoja hapo ndipo linapoanzia anguko la muunganiko huo.......baada ya mmoja kuchoka kuubeba huo mzigo........
 
Hata biblia isemeje lakini Kama ni kupelekwa watapelekwa na wengi wanapelekwa, hata wakijutia lakini tayari wamewapeleka, na si wote wanaojutia.
Mwali, hakuna unalo lijua kuhusu ndoa. Na nikisoma maandishi yako sawasawa naona you're too concerned kuhusu mwanaume kumpiga mwanamke.

Anyway, kwauzoefu wangu mimi hapo jamaa hana kesi na hakuna litakalo fanyika zaidi ya kutishiwa na kupata usumbufu wa kipolisi.

Pengine tu nijueleze kwamba hakuna polisi inayoweza kutatua matatizo ya ndoa, ndio sababu waliamua kuanzisha Dawati ili wajikite kwenye usuluhishi zaidi kwenye migogoro ya ndoa
 
Siku hizi ndoa ni muunganiko wa watu wawili wenye tamaa zao,unakuta mmoja ana hamu ya harusi sio ndoa,kuvaa shela,kupata zawadi,kuonekana kaoa au kuolewa,kuvaa pete, kukimbia maneno/masimango ya ndugu jamaa na marafiki. etc hivyo upendo hapo unadumu mwezi tu baada ya hapo waanza kuishi kwa mazoea
Bado vijana hawajajua kutofautisha kati ya NGONO na MAPENZI......
 
Unaweza kuambiwa kuwa Mchungaji au sheikh alifungisha hiyo ndoa!!!😄😄😄😄😄😄.
Poleni sana.
 
Mleta mada atuambie ni kabila gani. Wakurya wanatumia silaha yoyote iliyo mbele yake. Nshaishi na jirani wakurya aiseee ugomvi wao mkubwa sana na haipiti wiki hawajapigana sio kugombana kwa maneno ni ngumi,visu,mwichi,zinarushwa chupa hatari
Duhhhh....
Hao sasa wanaishi Baghdad na sio kwenye Ndoa...🤣🤣
 
Hata kama angepigika kiasi cha kutotembea asingethubutu kumpeleka mume wake police, kikubwa jamaa asolve tu hiyo issue ikiisha bas amrudishe kwao kwanza akili ikamkae sawa, ogopa sana mtu anaekupeleka police huyo anaweza kukuua kwa namna yoyote ile.
Kuna ndoa niliwahi kuitwa nikisuluhishe, then nilipo gundua mke alimpeleka mumewe police, niliwaambia kwamba mimi sina cha kusuluhisha zaidi nikamshauri mume afanye maamuzi yake ambayo ataona imempendeza baada ya tafakuri.
Mwisho wakati nawaaga nilisema hivi, ikija tokea mke akanipeleka police kwa namna yeyote iwayo, then huyo mke atakua ni wapolisi na sio mke wangu tena
 
Back
Top Bottom