Naombeni Ushauri: Mke amenishtaki kuwa nimempiga

Naombeni Ushauri: Mke amenishtaki kuwa nimempiga

Umecheat au kajua plans zako za kuongeza mke wa pili? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nawe umeleta utani kazini Tena[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama ameweza kukupeleka police, hata kukuwekea sumu kwenye chakula anaweza.. Ingebid muyamalize nyie wenyewe , na msameheane.
Mmmh shauri zingine bwana!! Hadi zinakera....asa sumu imekujaje hapo, yeye kasema waligombana hujui ugomvi ulikuwa mkubwa namna gani, hujui wakati mtoa mada anampiga alimpiga kwa tahadhari ya kutokumuumiza au alikuwa anapiga liwalo na liwe? Afe, abaki salama, aumie atajua mwenyewe mwenzie kaenda polisi kushtaki we unasema habari za kumuua na sumu
 
Kisa cha kuambiwa huna mke na wewe unakubali ni nini sasa! Kwani magomvi hayatokeagi na watu wakafikishana mbali na wakarudi wakasameheana tena! Mbona we ulimpiga kiasi cha kwenda kutibiwa na kwao? Na yeye akiambiwa hana mume hapo je?
Baada ya kugombana Mimi ndo nilimtibu na baadae wazazi wangu wakaja kumchukua ili atulie kidogo lakini akatoroka hom na kwenda kwao ndo karudi kisirisiri kukisanua,alitaka kunipoga shoka ndipo nikamtime nakumlaza kwa mtama
 
Hata wewe unaweza kuwa sio mume sasa! Kaeni myamalize labda ni wapenzi tu sio wanandoa.......hamna cha kupoteza
 
Huyo hafai kuitwa mke, ni muhuni flani hivi ambaye ameshakuchoka na ukiendelea nae atakuja kukutoa roho
Wahuni wawili wamekutana. Umesikia mke alikuwa anauguzwa, hapo nani anayetaka kumtoa roho mwenzie?
 
Baada ya kugombana Mimi ndo nilimtibu na baadae wazazi wangu wakaja kumchukua ili atulie kidogo lakini akatoroka hom na kwenda kwao ndo karudi kisirisiri kukisanua,alitaka kunipoga shoka ndipo nikamtime nakumlaza kwa mtama
Dah mkuu inamana hilo shoka lingetua kichwani tungekuwa tumempoteza mwana JF mwenzetu inasikitisha sana, uyo mkeo mchunguze siwez kwambia uachane nae mana mapenzi ni ya wawili ila kuwa nae makini sana
 
Back
Top Bottom