mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Ehee siku anakuvizia umelala anakupiga nondo ya kichwa.
Ni kweli wanapigana na kushikiana shoka. Hakuna mapenzi ni ushenzi.
Kila mtu achukue time zake.
Jamaa anadai waliumizana, ila yeye jamaa hajatibiwa aliyetibiwa na mke.
Everyday is Saturday.............................. 😎