Naombeni Ushauri: Mke amenishtaki kuwa nimempiga

Naombeni Ushauri: Mke amenishtaki kuwa nimempiga

Kifamilia imeshindikana kwani alienda kwao baada ya kuuguzwa na wazazi wangu,inaonekana ameshinikizwa ili kunikomoa tu
Fanya haya
1. Kwanza tumia njia yoyote kuhakikisha huwekwi ndani
2. Kikombe hiki kikishakuepuka, arudi kwanza kwao... akiwa huko, kata kila kitu kuanza matumizi hadi mawasiliano
3. Kikawaida mtu mzima kurudi kwao ataonewa huruma siku za mwanzo tu, the rest ni kusemwa kwamba ndo imemshinda.. atarudi tu..UNLESS OTHERWISE AWE ALIKUWA ANATAKA MUACHANE..
 
Wote nyie walewale tu. Nawashangaa wanaosema huna mke, yaani umemdunda mdada wa watu halafu atulie tu. Yaani mpaka anauguzwa duuuh izo ndoa zenu sijui mnaishije kwa vipigo na kushikiana mashoka.

Nenda karipoti ujue nini kinaendelea ukiwa umejipanga na mlungula wa haja. Baada ya hapo muambiwe ni kesi ya kifamili myamalize kifamilia kwishaa.
 
Siku chache zilizopita tuligombana na wife wote tuliumia, lakini badae akaenda police kunishtaki kuwa nimempiga na jalada lipo police, Naombeni ushauri kukiepuka kikombe hiki.
Tuanzie hapa

"tuligombana na wife wote tuliumia, lakini badae akaenda polisi"

Hili nneo tuligombana na wote tuliumia...mliumia kivipi
Moyoni au mmepigana mapanga ...ngumi au vijembe?
 
Why hana mke na huku amekiri kampga? Mke anaye sema mke hana mume
Hapo mke ameshauriwa na ndugu zake kwamba akaseme huyo sio mume wake, maana hata ndugu wanajua kwamba wakienda kusema ni mke na mume hiyo kesi itapelekwa Dawati na sio mahakamani.
Lakini pia kwakua mke amesema hana mume, basi jamaa atashtakiwa kwa kosa la kujeruhi.
Sasa..... Ikitokea kesi imeenda mahakamani, baada ya upelelezi hayo yote yatafahamika na mshkaji atapata usumbufu wa hapa na pale, lakini hakuna kesi hapo
 
Ndio japo mwera wananitafta nimewaambia nimesafiri ili niende j3 naogopa wakinidaka leo Hadi j3 sero no hatari na nasikia katembeza pesa hapo kituo Cha police
Nenda jumatatu,na mtu wa kukudhamini.
Kesi iende mahakamani.
Mkeo inaweza kuwa ameshapata hawara askari,ndio anamwongoza.
 
Mmmh shauri zingine bwana!! Hadi zinakera....asa sumu imekujaje hapo, yeye kasema waligombana hujui ugomvi ulikuwa mkubwa namna gani, hujui wakati mtoa mada anampiga alimpiga kwa tahadhari ya kutokumuumiza au alikuwa anapiga liwalo na liwe? Afe, abaki salama, aumie atajua mwenyewe mwenzie kaenda polisi kushtaki we unasema habari za kumuua na sumu
Kama kitu huelewi, unanyamaza
 
Ukishaona mmeanza kupigana na mkeo.mpe talaka mapema.
Ipo siku mtakuja KUUANA.
A
Ni kweli wanapigana na kushikiana shoka. Hakuna mapenzi ni ushenzi.
Kila mtu achukue time zake.
Jamaa anadai waliumizana, ila yeye jamaa hajatibiwa aliyetibiwa na mke.

Everyday is Saturday.............................. 😎
 
Mkuu umempiga mpaka kiasi cha kuuguzwa? Ulikua unapiga kama unapiga mwizi? Ama kama unapigana na mwanaume mwenzako? Ulitaka kumuua wewe, hata kama anakupenda nadhani maumivu na machungu yamezidi mzani wa upendo. Mwanamke hapigwi jiangalie leo kalazwa iko siku utaua kabisa.

Na kwanini umeleta kisa chako kiufupi sana? Hatujui mmegombana sababu ni nini?
 
Back
Top Bottom