Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nampa mkeo kongoleBaada ya kugombana Mimi ndo nilimtibu na baadae wazazi wangu wakaja kumchukua ili atulie kidogo lakini akatoroka hom na kwenda kwao ndo karudi kisirisiri kukisanua,alitaka kunipoga shoka ndipo nikamtime nakumlaza kwa mtama
Sio wote wana ujuzi huo mkuuUngemtandika dushe tu mkuu na malove bite kama simba anakausha shingo
Mambo ya Rwanda haya.Nchi nyingine, mkeo akikupiga, ukimpiga, au mkipigana, mwenye hatia hatimaye huwa ni mume.
Fanya hayaKifamilia imeshindikana kwani alienda kwao baada ya kuuguzwa na wazazi wangu,inaonekana ameshinikizwa ili kunikomoa tu
Tuanzie hapaSiku chache zilizopita tuligombana na wife wote tuliumia, lakini badae akaenda police kunishtaki kuwa nimempiga na jalada lipo police, Naombeni ushauri kukiepuka kikombe hiki.
Hapo mke ameshauriwa na ndugu zake kwamba akaseme huyo sio mume wake, maana hata ndugu wanajua kwamba wakienda kusema ni mke na mume hiyo kesi itapelekwa Dawati na sio mahakamani.Why hana mke na huku amekiri kampga? Mke anaye sema mke hana mume
Halafu kwa pesa ulizompa... 😀nasikia katembeza pesa hapo kituo Cha police
Nenda jumatatu,na mtu wa kukudhamini.Ndio japo mwera wananitafta nimewaambia nimesafiri ili niende j3 naogopa wakinidaka leo Hadi j3 sero no hatari na nasikia katembeza pesa hapo kituo Cha police
Kaweke wakiliSiku chache zilizopita tuligombana na wife wote tuliumia, lakini badae akaenda police kunishtaki kuwa nimempiga na jalada lipo police, Naombeni ushauri kukiepuka kikombe hiki.
Kama kitu huelewi, unanyamazaMmmh shauri zingine bwana!! Hadi zinakera....asa sumu imekujaje hapo, yeye kasema waligombana hujui ugomvi ulikuwa mkubwa namna gani, hujui wakati mtoa mada anampiga alimpiga kwa tahadhari ya kutokumuumiza au alikuwa anapiga liwalo na liwe? Afe, abaki salama, aumie atajua mwenyewe mwenzie kaenda polisi kushtaki we unasema habari za kumuua na sumu
Kwaiyo we umeelewa na sumu atayomuwekea? Msipende kushauri kubomoa ndoa za wenzenu utafikiri wakiachana mtaolewa ninyiKama kitu huelewi, unanyamaza
Ni kweli wanapigana na kushikiana shoka. Hakuna mapenzi ni ushenzi.Ukishaona mmeanza kupigana na mkeo.mpe talaka mapema.
Ipo siku mtakuja KUUANA.
A
Hata bidada kapata mume boya. Nashauri asirudi nyuma aendelee kukaza jamaa aende polisi alale mahabusu hata siku mbili tatu itapendeza.Hauna mke hapo..
Kwanini wamshangae? Nini dhumuni la dawati la jinsia?Hakuna kesi hapo, na hata ikipelekwa jukwaa la jinsia watabaki wakimshangaa huyo mwanamke