Naombeni Ushauri: Mke amenishtaki kuwa nimempiga

Naombeni Ushauri: Mke amenishtaki kuwa nimempiga

no matter what huwezi sema unapiga mke kiasi kwamba anaenda kuuguzwa kwao huo ni upumbavu.
Nikweli mkuu, mke anapigwa na (mpelekee moto). Lakini kwenu vijana hadi mfikie umri wa busara, basi lazima mtakua mmepitia kwenye mambo za makofi na kufinyana. Or though, hiyo haijafikia tiketi ya kumfanya mke ampeleke mume wake polisi (huko polisi mlisha bainika ndio maana mkawekewa Dawati)
 
Siku chache zilizopita tuligombana na wife wote tuliumia, lakini badae akaenda police kunishtaki kuwa nimempiga na jalada lipo police, naombeni ushauri kukiepuka kikombe hiki.
Kwanini na wewe ukimpigia? Tuanzie hapo kwanza.
 
Huyo kunalimot inamuongoza na mke anaekimbilia polisi huyo sio mke
Naunga mkono hoja qudadadeq.....
Mke anapaswa kutii mamlaka (mume).
Na panapotokea tofauti, watu wanapaswa wazungumze
 
Nikweli mkuu, mke anapigwa na (mpelekee moto).
Lakini kwenu vijana hadi mfikie umri wa busara, basi lazima mtakua mmepitia kwenye mambo za makofi na kufinyana. Or though, hiyo haijafikia tiketi ya kumfanya mke ampeleke mume wake polisi (huko polisi mlisha bainika ndio maana mkawekewa Dawati)
Yes.nami pia sijatetea swala la mke kwenda police lakini what if ndio tabia ya kila siku ya huyu jamaa ?, familia zimesuluhisha mara kibao lakini hali haibadiliki? mke amevumilia ameona inatosha? huoni kwamba jamaa ndio mpumbavu na source ya kuharibu ndoa yake?,na yet mnampa kichwa kuwa aachane na huyo mwanamke bila kutafakari kwa kina yamkini yeye ndio tatizo.
 
Yes.nami pia sijatetea swala la mke kwenda police lakini what if ndio tabia ya kila siku ya huyu jamaa ?, familia zimesuluhisha mara kibao lakini hali haibadiliki? mke amevumilia ameona inatosha? huoni kwamba jamaa ndio mpumbavu na source ya kuharibu ndoa yake?,na yet mnampa kichwa kuwa aachane na huyo mwanamke bila kutafakari kwa kina yamkini yeye ndio tatizo.
Ohhhh....
Basi skunyingine usije ukafanya concussion kwa what if.....
Anyway, upo sawa mkuu
 
Ohhhh....
Basi skunyingine usije ukafanya concussion kwa what if.....
Anyway, upo sawa mkuu
Yes hatuwezi kufikia conclusion ya swala la huyu jamaa bila kusikia upande wa pili ili kupata uhalisia wa jambo lenyewe.lakini all in all jamaa ni mpumbavu bila kupepesa macho huwezi piga mwanamke kiasi anaenda kuuguzwa, siku ya siku atajikuta ameua bila kukusudia.
 
Simtetei yoyote maana sijui undani wa matatizo yao ila ikibidi mtu apelekwe polisi iwe mke au mume na apelekwe tu
Ushaambiwa hakuna unalojua kuhusu ndoa. Funga domo lako aisee... Unakera.
 
Siku chache zilizopita tuligombana na wife wote tuliumia, lakini badae akaenda police kunishtaki kuwa nimempiga na jalada lipo police, naombeni ushauri kukiepuka kikombe hiki.
Kama uko Dar mpeleke shopping Mlimani City.
 
Shika adabu yako hujui watu wametoka wapi baada ya kuwambia wasameheyane wewe chura huna mke hapo daa dekii ,sasa akiachwa utamuoa weye.
Nasema hiviii.....hakuna NDOA hapo. Mwanaume anayempiga mkewe mara kwa mara huwezi ni wazi amekosa akili ya kubadili mambo ya hapo nyumbani ili kuondoa mazingira yanayoleta makosa kujirudia.

Mwanamke anayepigwa na mumewe na kuamua kufungua kesi polisi tena hata baada ya kuhudumiwa kwa ukaribu na wakwe zake ni wazi kaona hampendi tena mumewe na njia rahisi ya kujiondoa kwenye hiyo kadhia ni kupitia mlolongo wa sheria.

Sasa kuna ndoa hapo!? Wanalazimishana tu hao mwishowe wauane kama yule mwanafunzi wa Iringa University. Ambaye alikuwa akipigwa mara kadhaa tena hadharani, na siku nyingine alipigwa mbele ya lecturer lakini wanasulihishwa na binti anasamehe. Mwishowe jamaa akaamua kumnyonga mpaka kufa.
 
Ndio japo mwera wananitafta nimewaambia nimesafiri ili niende j3 naogopa wakinidaka leo Hadi j3 sero no hatari na nasikia katembeza pesa hapo kituo Cha police
Kheeeeh mkeo amewapa pesa polis ili ukamatwe, kwani ulimkosea nn?
 
Mmmh shauri zingine bwana!! Hadi zinakera....asa sumu imekujaje hapo, yeye kasema waligombana hujui ugomvi ulikuwa mkubwa namna gani, hujui wakati mtoa mada anampiga alimpiga kwa tahadhari ya kutokumuumiza au alikuwa anapiga liwalo na liwe? Afe, abaki salama, aumie atajua mwenyewe mwenzie kaenda polisi kushtaki we unasema habari za kumuua na sumu
Hawa wenye mikia wa humu ndani wanaona haki yao.kupiga mke mpaka wamng'oe macho....ila wakioelekwa polisi wanaona mke hafai

As if wanapiga ngoma!!!!

Imagine mpaka mtu kauguzwa kwao.

Ina maana kipigo kilikuwa cha maana. Angekufa je???
 
Back
Top Bottom