KabisaHuyo mwanamke ni mjinga sana anahitaji ushauri nasaha wa ndoa na maisha
Uyo mtoto na miezi sita tangu azaliwe.Pole sana mkuu, zungumza na mkeo muweke wazi na utubu msameheane muendelee kulea familia yenu
By the way, huyo mtoto ulimzaa ukiwa tayari kwenye ndoa na mkeo au alimzaa kabla hujamuoa?
Kama ulimzaa kwa kumcgeat basi tafuta namna bira ya kumuelewesha nkeo, kiri majosa omba msamaha maana umekosea