DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Sometimes na sisi wanaume tupunguze sana mizuka,
Inatakiwa tufike mahali tuwajibike kwa DHAMBI ZETU Kama uyu mtoa mada.
Unaenda kutembea na mchepuko,
mpaka anabeba MIMBA miezi 9 tumboni, wee bado upo upo TU unashangaa mjini?
Mpaka anajifungua mtoto, wee bado upo upo TU unashangaa?
Mpaka mkeo anagundua, ndio akili inastuka, Dah! Tunakua tunafeli Sana aisee .
Maana hapa Nawaza,
Lingetokea la kutokea bahati mbaya UKAFARIKI,
Unafikiri ungeacha timbwili la namna gani Kwenye familia na Ukoo?
Unafikiri uyo mwanao angeishi maisha gani bila ndugu yeyote kumtambua?
Aisee,
Wanaume tuwe makini Sana na hi michepuko.
Michepuko mingine nuksi Sana, wanajishikiza MIMBA makusidi ili mradi TU akuvurugie Uko kwa mkeo.