Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Mume wangu ana mtoto mmoja bahati nzuri Mama yake alishaolewa nahisi ana mwingine hapendi kukubali.asilimia 95 ya wanaume wana watoto nje either kabla ya ndoa or before.so wakati wako wa kuambiwa Kuna mtoto pokea tu maisha yaendelee.kesi ya infidelity kwangu haitokaa inipe shida as long hainiaffect mimi.na wanangu.kila mtu ana akili zake siwezi control akili ya mtu.iko nje ya uwezo wangu
Wanawake wengi wanaochukulia poa mambo hayo mara nyingi ni wale ambao nao hawajatulia.
Uzoefu unaonesha hivyo.
Kuna wanawake wanaishi na wanaume lakini wanajulikana wana michepuko yao ya kudumu miaka na miaka.
Kuna wanawake hata akipata dharura mfano amegonga gari ya mtu wakwanza kumwambia ni mchepuko wake aweze kumshauri au afike eneo la tukio.
Mume wa ndoa atakuja kupata taarifa jioni au asipate kabisa [emoji108][emoji108]
Mwanamke yeyote malaya huwa hajali sababu dhamiri yake inasuta ndani yake kuwa “wewe mwenyewe mbona hujatulia ? “
Lakini mwanamke ambae ni mwaminifu kabisa ktk ndoa jambo hilo huwa ni mtihani mkubwa sana.