Naombeni ushauri: Mke wangu amejua kuwa nina mtoto kwa mwanamke mwingine

Naombeni ushauri: Mke wangu amejua kuwa nina mtoto kwa mwanamke mwingine

Kuihimili hili zigo inataka moyo sana
[emoji117]Umri mkubwa ndo wanaweza hili
[emoji117]Kama ke nae ashachepuka nje ya mumewe ama kuzaa nje akiwa kaolewa
[emoji117]Una roho mtakatifu

Vinginevyo hapo pagumu Sana sitaki hata kupawazia
Wewe unatakiwa upewe darasa na Kungwi Miss Natafuta
 
Nateseka sina aman na ndoa yangu

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app

Pole mkuu,jaribu kuwa karibu na watoto wenu mliopata ndani ya ndoa kwa kipindi hiki bado ana maumivu, anahitaji re-assuarance kwamba 'resources' ambazo WOTE mna invest kwa watoto wenu zipo intact,haziwi directed kwingine. Umevunja TRUST,initially mkeo ana maumivu ila withtime ukionyesha postive behaviour utarudisha trust slowly. Wewe jifanye uko 'concerned' na yeye mkeo pamoja na watoto wenu,ukitoka kazini beba vizawadi hasa kwa watoto,ulizia hali zao,angalia filamu nao,fanya yote kwa wanao huku ukihakikisha mkeo anaona....nikuambie kitu kimoja,females tumeumbwa ku raise offsprings until maturity,and we depend on males to bring resources for raising these offsprings, kinachotusumbua sisi sio wewe ume cheat bali kuona re-direction of resources, resources kwenda kwingine tunaumia sababu inatuacha kwenye vulnerable situation in raising our offsprings!, its called emotional infidelity. Wewe 'play' up super nice to your children and you will win her trust...nakushauri pia usifanye vitu vitakavyompa doubts mkeo..kama kuchelewa sana kurudi kazini au kupitia bar kwa kipindi hiki...all the best rafiki.
 
Wewe unatakiwa upewe darasa na Kungwi Miss Natafuta
Hapana kwenye hili sitahitaji somo kutoka kwa mtu yeyote, maana uzito wa maumivu na mapenzi kwa mume wangu nayajua mwenyewe, Ni mawili kuachana ama kumsamehe maisha yaendelee nitaangalia mapenzi yanaegemea upande upi.
 
Wewe Ni fala

"A man who can't respect his family can't be rich" -jayz
 
Hapana kwenye hili sitahitaji somo kutoka kwa mtu yeyote, maana uzito wa maumivu na mapenzi kwa mume wangu nayajua mwenyewe, Ni mawili kuachana ama kumsamehe maisha yaendelee nitaangalia mapenzi yanaegemea upande upi.
Wewe unaonekana unapenda vibaya sana mamaa.

Yani ile hakuna negotiation ya Kungwi wala Mzee wa Busara.

Lakini ukimpata uliyempa hashuo zako zote utaelewa mwenyewe.
 
Kama uliweza mshawishi awemkeo ,unafelije kumshawishi ile ni bahatimbaya japokua hata wewe akikuletea mtoto wanje uwempole -win win situation
 
Wewe unaonekana unapenda vibaya sana mamaa.

Yani ile hakuna negotiation ya Kungwi wala Mzee wa Busara.

Lakini ukimpata uliyempa hashuo zako zote utaelewa mwenyewe.
Kwakweli kwa hapa nilipo nimetoa kila kitu moyo, figo, maini nk ndo maana ikitokea ishu kama hii nitazungumza na halmashauri ya kichwa changu tu

Mapenzi yaacheni hayana baunsa haya ila upendo washinda yote kuliko kuishi bila yeye kwa roho moja nitasamehe tu, japo inauma jamani😢
 
Kwakweli kwa hapa nilipo nimetoa kila kitu moyo, figo, maini nk ndo maana ikitokea ishu kama hii nitazungumza na halmashauri ya kichwa changu tu

Mapenzi yaacheni hayana baunsa haya ila upendo washinda yote kuliko kuishi bila yeye kwa roho moja nitasamehe tu, japo inauma jamani[emoji22]
Nilichokupendea wewe husumbui watu kuitisha vikao [emoji28][emoji28][emoji28].
 
Kwanini umsaliti mke wako? Hata kama ni mimi nisingekusamehe na nisingekuacha pia. Ningehakikisha nakuletea watoto wawili ambao sio wa kwako.
 
Back
Top Bottom