Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana ila nina imani yataisha
Wewe unatakiwa upewe darasa na Kungwi Miss NatafutaKuihimili hili zigo inataka moyo sana
[emoji117]Umri mkubwa ndo wanaweza hili
[emoji117]Kama ke nae ashachepuka nje ya mumewe ama kuzaa nje akiwa kaolewa
[emoji117]Una roho mtakatifu
Vinginevyo hapo pagumu Sana sitaki hata kupawazia
Maji yakiwa yamoto lazima yatapoaPole sana ila nina imani yataisha
Hapana kwenye hili sitahitaji somo kutoka kwa mtu yeyote, maana uzito wa maumivu na mapenzi kwa mume wangu nayajua mwenyewe, Ni mawili kuachana ama kumsamehe maisha yaendelee nitaangalia mapenzi yanaegemea upande upi.Wewe unatakiwa upewe darasa na Kungwi Miss Natafuta
Wewe unaonekana unapenda vibaya sana mamaa.Hapana kwenye hili sitahitaji somo kutoka kwa mtu yeyote, maana uzito wa maumivu na mapenzi kwa mume wangu nayajua mwenyewe, Ni mawili kuachana ama kumsamehe maisha yaendelee nitaangalia mapenzi yanaegemea upande upi.
Kwakweli kwa hapa nilipo nimetoa kila kitu moyo, figo, maini nk ndo maana ikitokea ishu kama hii nitazungumza na halmashauri ya kichwa changu tuWewe unaonekana unapenda vibaya sana mamaa.
Yani ile hakuna negotiation ya Kungwi wala Mzee wa Busara.
Lakini ukimpata uliyempa hashuo zako zote utaelewa mwenyewe.
Nilichokupendea wewe husumbui watu kuitisha vikao [emoji28][emoji28][emoji28].Kwakweli kwa hapa nilipo nimetoa kila kitu moyo, figo, maini nk ndo maana ikitokea ishu kama hii nitazungumza na halmashauri ya kichwa changu tu
Mapenzi yaacheni hayana baunsa haya ila upendo washinda yote kuliko kuishi bila yeye kwa roho moja nitasamehe tu, japo inauma jamani[emoji22]
Mapenzi Ni ya wawili,Nilichokupendea wewe husumbui watu kuitisha vikao [emoji28][emoji28][emoji28].
Falsafa zako nimezipenda.Mapenzi Ni ya wawili,
Na hili jina wanawake akizaa na mwanaume aliyeoa wanalipenda jamani.Hongera baba Junior