Naombeni ushauri: Mke wangu amejua kuwa nina mtoto kwa mwanamke mwingine

Naombeni ushauri: Mke wangu amejua kuwa nina mtoto kwa mwanamke mwingine

Sometimes na sisi wanaume tupunguze sana mizuka,
Inatakiwa tufike mahali tuwajibike kwa DHAMBI ZETU Kama uyu mtoa mada.

Unaenda kutembea na mchepuko,
mpaka anabeba MIMBA miezi 9 tumboni, wee bado upo upo TU unashangaa mjini?

Mpaka anajifungua mtoto, wee bado upo upo TU unashangaa?

Mpaka mkeo anagundua, ndio akili inastuka, Dah! Tunakua tunafeli Sana aisee .

Maana hapa Nawaza,
Lingetokea la kutokea bahati mbaya UKAFARIKI,

Unafikiri ungeacha timbwili la namna gani Kwenye familia na Ukoo?

Unafikiri uyo mwanao angeishi maisha gani bila ndugu yeyote kumtambua?

Aisee,
Wanaume tuwe makini Sana na hi michepuko.

Michepuko mingine nuksi Sana, wanajishikiza MIMBA makusidi ili mradi TU akuvurugie Uko kwa mkeo.
 
Sometimes na sisi wanaume tupunguze sana mizuka,
Inatakiwa tufike mahali tuwajibike kwa DHAMBI ZETU Kama uyu mtoa mada.
Kwahiyo ushauri wako jamaa angenshauri mchepuko atoe mimba??[emoji15][emoji2960][emoji2958]
 
Kuna ushauri wa humu ndani wewe mtu na akili zako timamu ukiufuata, walaqhi' you're doomed..!!

Mtu anaongelea 'Ndoa' na siyo girlfriend jamani, kizazi chetu kimepotoka hatari..!!

Mtoa mada, tubu mbele za Mungu kwa dhati kabisa na umuombe usaidizi wake katika hili, kisha zungumza na mkeo wa Ndoa, itakuwa ngumu mwanzoni ila atakuja kukuelewa, na kila kitu kitakuwa sawa naamini..!!
Kinyongo na chuki alomjengea moyoni mwake dah!
 
Acha aende mlete huyo Mama mtoto mwingine ndani maisha yaendelee.kwani yeye ana k ya gold ama??
Watu wasizae kwanini?? Kisa yeye kaolewa.yaani ufe na watoto wawili mwanaume mzima ungeenda kujibu Nini kwa mola wako? Si Ni matumizi mabaya ya. Uumbaji au??
Umeolewa? Yamewahi kukukuta hayo? Ama ni wale michepuko ishajitoa kuzaa zaa na yeyote atayeingia 18 zao
 
Huyo mwanamke hakuja kwenye ndoa kwa kumaanisha alikuja kujaribu ndoa, eti anataka kuondoka kwasababu kama hii kweli? Kwani yeye wakati anaolewa alikutwa kaitunza BIKIRA yake??
Wewe mkeo wa ndoa akikuletea mtoto wa nje ya ndoa utakubali yaani mnazungumza kimasihara mtoa mada angekuja na mada kwamba mkewe amemwambia mtoto wa pili kuzaliwa si damu yake usingekuja na ushauri huu ingekuwa ni “FUKUZA HIYO MALA”
 
Wewe mkeo wa ndoa akikuletea mtoto wa nje ya ndoa utakubali yaani mnazungumza kimasihara mtoa mada angekuja na mada kwamba mkewe amemwambia mtoto wa pili kuzaliwa si damu yake usingekuja na ushauri huu ingekuwa ni “FUKUZA HIYO MALA”
Kuoa tu single mother kila siku humu wanaapa hawaoi, je mwanamke akizaa nje yuko ndani ya ndoa
 
Usihofu,
Iyo ya kugawana hua haipo, Anakupima

Na huo Ni mtego
"on how strong you are"

Ukilegeza apo Kwenye kukutishia kugawana mali, UMEKWISHA.

Na
iyo ndio itakua silaha yake milele kukutikisa na kukunyanyasa kwa chochote atakacho ktk ndoa.

USIWE LEGE LEGE,
STAY STRONG AS A MAN and HEAD OF FAMILY.

Mali zisikupelekeshe mputa mputa mpk kukuondolea Utu na Uanaume Wako na kuondolea Total control ktk familia yako.
Nakazia[emoji847]
 
Pole ndoa yako haitakuwa sawa Tena milele, mkeo asipokukimbia ukizeeka utapata shida sana wanawake huwa hatusahau, hafu huo mchepuko ni mubaya kakuharibia kwenye familia yako kusudi loh, jifunze kutumia condom, na kumwaga nje, sijui kwanini wanaume huwa mnajitaftia matatizo wenyewe
 
Back
Top Bottom